Usihukumu ndugu sema tu uchunguzi ufanyike ukweli utamalakiSo kama alikuwa anang'ang'ania silaha alitegemea nini zaidi ya askari kujilinda? Sometimes tusiwe mashabiki tu. Poleni kwa familia.

Kurasini chuo cha polisi alisema kabisa kuwa kill any suspect na atakaye ua asishitakiwe kiraia wala kijeshi. clip ipo! Hakuna anayesema uongo!
Sizani hata kama taarifa nzima umeisoma ebu pitia tena.Ni mtoto wa mfanyakazi mwenzetu,ni ndugu wa kijana staff mwenzetu,ni ndugu binamu wa staff wenzetu wawili tena wameenda msibani!Ngoja nifikirie outside the box,Muhalifu apelekwe mpaka kituoni alafu auwawe hapo akiwa mahabusu?kwa nini wasimpige risasi huko njiani waseme alikuwa anatoroka waje wajiletee kesi bila sababu kwa kumuuwa akiwa kituoni?walikamatwa wawili inadaiwa lakini mmoja akatolewa akaambiwa asiseme chochote akitoka,hii nayo haingii akilini,mwenzio apigwe risasi ukishuhudia alafu wewe uachwe?Nani anataka ushahidi huo?Tusipende kuwalaumu polisi bure.Kwani polisi hujitaftia wahalifu au sisi wenyewe ndio tunapelekana huko kituoni?Imagine upige simu polisi majambazi au vibaka wamekuvamia nyumbani kwako polisi wasije?imagine uende kituoni ukatoe malamiko dhidi ya mtuhumiwa wako polisi wakae kimya?Tuwaache polisi wafanye kazi na tupishe uchunguzi wa vyombo vinavyohusika.Hakuna aliyekuwa kituoni,tuache kusikiliza umbea wa mitaani!Poleni sana staff wenzngu,poleni ndugu zangu wafiwa,mungu awape subra katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wenu.Haki ya mtu haipotei,huchelewa tu!
Na yule aliyeuawa kwenye ibada kanisani alikuwa anang'ang'ania bunduki?
INASHANGAZA LEO KIBAKA ANAPATA SAPOTI KUBWA NAMNA HII. ANAPOKABA AKAUA AU ANAPOIBA ANALAANIWA NA WATU WOTE HUKU WAKIAPA WAKIMKAMATA WATAMUUA. NI WENGI WAMEUAWA NA WATU WANAITWA WANANCHI WENYE HASIRA KALI ILA HUSIKII NENO. NI MARA NYINGI NIMESHUHUDIA KIBAKA AKIPAMBANA NA ASKARI KUKWEPA KUKAMATWA. PIA KUMEKUWEPO NA MATUKIO YA POLISI KUCHOMWA VISU. NAJUA HUYO POLISI ANGENYANGANYWA SILAHA KAMA ASINGEMPIGA RISASI KUMUUA BASI ANGESHTAKIWA KWA UZEMBE NA JUU YA JUKWA HILI TUNGEMCHEKA POLISI MZEMBE ASIYETUMIA SILAHA KUZUIA KIBAKA.
Magufuli ameua, kwa kinywa chake alisema Police waue wahalifu na hakuna kushtakiwa, Lugola akienda huko Hana kazi.Kijana Richard Peter Lombo (29) ameuawa na polisi wilayani Arumeru kwa kupigwa Risasi kifuani akiwa ndani ya Kituo cha Polisi Usariva Mkoani Arusha baada ya kufikishwa hapo akituhumiwa kwa uhalifu.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Longinus Tibishubwamu akizungumzia tukio hilo kwa Njia ya simu amesema kuwa kijana huyo alikuwa kibaka na alitaka kuchukua silaha ya askari lakini katika mvutano huo ukasababisha risasi kufwatuka jambo ambalo kaka yake Issa Juma amesema kuwa ameshuhudia askari akimfyatulia ndugu yake huyo risasi ya kifuani na kufariki papo hapo.
Ndugu wa kijana huyo wakiwemo wazazi wake wamemtaka waziri wa mambo ya ndani ,Kangi Lugola kuja mkoani hapa kufuatialia tukio hilo kwani kinachoelezwa na kaimu kamanda in uongo mtupu na unalenga kuipotosha jamii.
Familia imegoma kuuzika mwili wa kijana wao uliipo Mochware wakilalamikia unyama uliofanywa na askari hao wasiofuata na kuzingatia maadili ya Kazi yao kwa kufanya mauaji ndani ya kituo hicho cha Polisi bila woga na kudanganya kuwa alitaka kuwapora silaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes exactly, Lucifa anaishi ikulu ya Tanzania kwa sasa, whoever goes against him or criticizes him, a death penalty is hisawamu ya shetani kuwen makin shetan yuko kazini
Hii ndio tanzania.kituo cha polisi?Kijana Richard Peter Lombo (29) ameuawa na polisi wilayani Arumeru kwa kupigwa Risasi kifuani akiwa ndani ya Kituo cha Polisi Usariva Mkoani Arusha baada ya kufikishwa hapo akituhumiwa kwa uhalifu.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Longinus Tibishubwamu akizungumzia tukio hilo kwa Njia ya simu amesema kuwa kijana huyo alikuwa kibaka na alitaka kuchukua silaha ya askari lakini katika mvutano huo ukasababisha risasi kufwatuka jambo ambalo kaka yake Issa Juma amesema kuwa ameshuhudia askari akimfyatulia ndugu yake huyo risasi ya kifuani na kufariki papo hapo.
Ndugu wa kijana huyo wakiwemo wazazi wake wamemtaka waziri wa mambo ya ndani ,Kangi Lugola kuja mkoani hapa kufuatialia tukio hilo kwani kinachoelezwa na kaimu kamanda in uongo mtupu na unalenga kuipotosha jamii.
Familia imegoma kuuzika mwili wa kijana wao uliipo Mochware wakilalamikia unyama uliofanywa na askari hao wasiofuata na kuzingatia maadili ya Kazi yao kwa kufanya mauaji ndani ya kituo hicho cha Polisi bila woga na kudanganya kuwa alitaka kuwapora silaha
Sent using Jamii Forums mobile app
sina haja ya kusoma taarifa nzima ya mtu ambaye hakuwepo,Nafanya kazi na ndugu zake na mamayake mdogo na huyo kijana!Unataka nichukue taarifa ya mleta uzi?wewe una matatizo na polisi kwa sababu zako binafsi.Mimi najaribu kuchambua taarifa tu sijasema niko sahihi.Try to push the wheelbarrow upside down!Sizani hata kama taarifa nzima umeisoma ebu pitia tena.
Maneno mazito hayaHucheka kovu asiyefikwa na jeraha
Kwan kituoni/Central Silaha zinakaa hovyo.....?Unauhakika gani aling'ang'ania silaha??
Sijaelewa swali lakoKwan kituoni/Central Silaha zinakaa hovyo.....?
Yani kibaka awazidi nguvu polisi tena kituoni mpaka watumie risasi,basi mafunzo yao yana wasiwasi!Una uhakika gani kama polisi walimpiga kwa maksudi? Acheni biases
Swali lilikuwa ni dogo tu wala halikuhitaji maelezo meeeeengi ambayo hayana msingi je umesoma taarifa yote?sina haja ya kusoma taarifa nzima ya mtu ambaye hakuwepo,Nafanya kazi na ndugu zake na mamayake mdogo na huyo kijana!Unataka nichukue taarifa ya mleta uzi?wewe una matatizo na polisi kwa sababu zako binafsi.Mimi najaribu kuchambua taarifa tu sijasema niko sahihi.Try to push the wheelbarrow upside down!