Polisi acheni uongo juu ya Padri aliyetekwa

Hivi Bongo hapa hatuna highly talented sniper kama Tyer Robinson?

Mimi niko tayari kumlipa kwa kazi maalumu.
Mimi nilifikiria wewe ndiyo ungejitolea sasa kuwa huyo highly talented sniper kwa kujifunza mwenyewe kupitia utube, nk. Hii ingekaa vizuri sana. Kwa sababu una wazo zuri.

Si ulimuona hata yule Hamza! Hakuajiri mtu. Badala yake alichukua mashine na kuanza kuwatungua wabaya wake mmoja baada ya mwingine, mpaka pale na yeye walipo muotea.
 
Nchi hii Kwa sasa, Siasa zinatupelekea kutetea hata waharifu. Kuna Mapadri wamevaa ngozi ya kondoo tinao huku mitaani. Wana Vimada, wamewajengea majumba na kuwezeshwa biashara na hata kuzaa nao watoto. Kwa sababu mfumo wa Kanisa ni wa Siri kubwa, linayajua haya lakini haliwrzi Toka hadharani kuumbuana. Tusiamini kuwa Watawa wote ni wasafi Kuna wenye kukengeuka na hatua zake ni Siri ya Kanisa.
 
Mapadre kuwa na vimada, kuwajengea nyumba, kuwawezesha kibiashara, kuwa na watoto, nk. Siyo uhalifu! Ila haoo mapadre wanakuwa wamekiuka tu viapo vyao vya kuishi maisha ya useja, na pia kwenda kinyume na sheria za Kanisa.

Na ufahamu pia hakuna mwanadamu mkamilifu. Na utakuwa bila shaka uko peke yako, unayeamini kama watawa wote ni wasafi.
 
Naona umesaidia kuonyesha sio kweli kuwa Mapadri wote Wana maisha ya Kitawa, kwamba hawana pesa sababu wanahudumiwa na Kanisa tu. Chakujiuliza hawa wanaokengeuka wanapataje pesa ya juyafanya Hayo? Huyu imeonyesha ni mkopaji nzuri, yawezekana anakopa hata Kwa waumini wake. Kwa Nini tumtetee kuwa hawezi Fanya Hayo Kwa kigezo Wanaoishu maisha ya Kitume hawanaga shida ya pesa? Yaani za Nini Hali kuwa wameapa kuishi Kwa kutunzwa na Kanisa!!??
 
ufala wa kwanza tulioaminishwa ni kuaminu kwamba common sense inatoka darasani,ndio maana wasomi nchi hii hata wakifanya upuuzi inaonekana wako kwenye research.
Unaweza kunipa sababu tano tu za msingi kabisa kuonyesha kuwa jeshi la polisi hawajakosea kuweka hicho kigezo Cha failures ndo wanotakiwa kujiunga na jeshi la polisi ???
 
Naona umesaidia kuonyesha sio kweli kuwa Mapadri wote Wana maisha ya Kitawa, kwamba hawana pesa sababu wanahudumiwa na Kanisa tu. Chakujiuliza hawa wanaokengeuka wanapataje pesa ya juyafanya Hayo? Huyu imeonyesha ni mkopaji nzuri, yawezekana anakopa hata Kwa waumini wake. Kwa Nini tumtetee kuwa hawezi Fanya Hayo Kwa kigezo Wanaoishu maisha ya Kitume hawanaga shida ya pesa? Yaani za Nini Hali kuwa wameapa kuishi Kwa kutunzwa na Kanisa!!??
Polisi wa Wabongo, ni chawa wa CCM and they can say any rubbish to protect the authorities hivyo ni mpumbavu pekee anayeweza kuwaamini(the police previous records say it all) unless if they can present before us the water tight proofs ya yale wayasemayo.
 
Hii vita ni ngumuu sanaa.. Juzi masister wamewashiwa motoo kushika bendera za fisiemu😀😀😀 Marufuku kubwaaa.. daah ngoma ngumu sana kwa mama.
 
Hata kwa Dr Kitima walipotosha makusudi tu ila suala la mapadri kumiliki biashara na assets lipo sana kwa sasa.

Wapo maparoko wanaendesha magari yao binafsi na huhama nayo na pia wapo wanalima na wengine wamewekeza kwa ubia kwenye biashara za watu mtaani.

Binadamu hawatosheki siku zote!!
 
Naona umesaidia kuonyesha sio kweli kuwa Mapadri wote Wana maisha ya Kitawa, kwamba hawana pesa sababu wanahudumiwa na Kanisa tu. Chakujiuliza hawa wanaokengeuka wanapataje pesa ya juyafanya Hayo? Huyu imeonyesha ni mkopaji nzuri, yawezekana anakopa hata Kwa waumini wake. Kwa Nini tumtetee kuwa hawezi Fanya Hayo Kwa kigezo Wanaoishu maisha ya Kitume hawanaga shida ya pesa? Yaani za Nini Hali kuwa wameapa kuishi Kwa kutunzwa na Kanisa!!??
Mimi sijakataa kama Padre hawezi kukopa (kwa sababu na yeye ni binadamu). Ila kama ikitokea akafanya hivyo, basi atakuwa amefanya kinyume na taratibu za Kanisa zinavyomtaka. Yaani ni sawa tu akiwa na kimada, watoto, biashara, nk.

Na kuhusu hili la Padre Kibiki, binafsi nilitamani kupata maelezo ya kina kutoka polisi. Na kama kweli amefanya, basi amefanya kwa utashi wake. Kama nilivyo elezea hapo juu.
 
Haswaaa atakuwa amefanya Kwa utashi wake na atakuwa ametenda kosa la kudanganya kuwa alitekwa
 
Wanasahau uwezo wa Tanzania kunyambua mambo umekuwa mkubwa, wao wanafikiri tupo enzi za ujinga
 
Polisi wa Wabongo, ni chawa wa CCM and they can say any rubbish to protect the authorities hivyo ni mpumbavu pekee anayeweza kuwaamini(the police previous records say it all) unless if they can present before us the water tight proofs ya yale wayasemayo.
Tutayajua yakifika Mahakamani ila Kwa sasa tubaki na mashaka yetu lakini sio tuhumu kuwa polisi ni Waongo sababu ati mtuhumiwa ni Kasisi, na Kasisi hahitaji pesa. Hii si kweli.
 
Haswaaa atakuwa amefanya Kwa utashi wake na atakuwa ametenda kosa la kudanganya kuwa alitekwa
Kama ni kweli lakini! Maana wewe rafiki yangu Muliru na vijana wako kwa kutengeneza tu muvi za matukio, mko vizuri!

Moja ya mifano maarufu ya hizo muvi zenu;

1. " mtuhumiwa baada ya kukamatwa, alienda kuwaonesha polishi mahali wenzake walipojificha! Baada ya kufika eneo la tukio, wenzake wakatokea vichakani na kumshambulia! Akafa palepale"

2. "Mtuhumiwa wakati anasafirishwa kwenye gari ya polishi, ghafla akaruka na kuanza kukimbia! Wakati anakimbia damu nyingi zilitoka mwilini na kupoteza maisha"

3. "Wakati mtuhumiwa yuko mahabusu na wahalifu wengine, alichukua tambala la kudekia na kujinyonga"

4. "Mtuhumiwa alipigwa risasi ya mguuni. Damu zilitoka nyingi! Wakati anawahishwa hospitali, akafia njiani"

Hii ni mifano michache iliyojaa ukakasi, na hasa kwa mtu anayependa kuutesa ubongo wake.
 
Tutayajua yakifika Mahakamani ila Kwa sasa tubaki na mashaka yetu lakini sio tuhumu kuwa polisi ni Waongo sababu ati mtuhumiwa ni Kasisi, na Kasisi hahitaji pesa. Hii si kweli.
Simtetei huyo Padre hata kidogo, nazungumzia uongo wa polisi wanapokuwa wamehusishwa na uhalifu iwe ni wao direct au iwe ni kile kikosi chao kisicho rasmi dubbed as wasiojulikana au iwe wanatetea uzandiki wa CCM au viongozi wa serikali. They're can go deeper than anyone can believe just to protect some stupid ass-holes.
 
Unaweza kunipa sababu tano tu za msingi kabisa kuonyesha kuwa jeshi la polisi hawajakosea kuweka hicho kigezo Cha failures ndo wanotakiwa kujiunga na jeshi la polisi ???
1-hakuna polisi aliyefeli,kwa tafsiri ya failure necta,ndio maana wana vyeti wote,isipokuwa ni wanafunzi wasiochaguliwa kuendelea na shule.

2-wanapoalika watu usaili,hutaka wenye four kuanzia 28 kuja mpaka div 1,wapo polisi wenye one kabisa ya form four au six,lakini ni kundi hili hili linalolalamikiwa.

3-polisi wenye elimu kubwa mpaka masters wapo,umeshawahi kuwaona??huwezi waona maana cheti ni mtego wa wasiotafakari.

wakati unafikiri ni tatizo sana polisi kuchukuliwa wakiwa hawana div one,nakukumbusha tu angaliwa wabunge wenye sifa ya kujua tu kusoma na kuandika na wenye PHD bungeni namna wanavyofinyanga mambo.
lijue tatizo kwanza kabla hujafikiria hata kulitatua
 
Simtetei huyo Padre hata kidogo, nazungumzia uongo wa polisi wanapokuwa wamehusishwa na uhalifu iwe ni wao direct au iwe ni kile kikosi chao kisicho rasmi dubbed as wasiojulikana au iwe wanatetea uzandiki wa CCM au viongozi wa serikali. They're can deeper than anyone can believe just to protect some stupid ass-holes.
some stupid ass-holes indeed🤣
 
Kuna tukio la kuokotwa mwili unaelea jangwani ,wananchi wakasema kwamba ameuawa na "GENGE LA MUUZA MATAIRI K/KOO" ,polisi wakajitokeza wakasema kwamba ule mwili ni wa kijana ambaye anaishi magomeni alikuwa na matatizo ya kifafa siyo kwamba alitekwa ila wananchi wakahoji sawa alikuwa na kifafa ilikuwaje amefungwa kwenye kiroba? Yaani Polisi majibu/taarifa zao ni za MASHAKA MASHAKA sana.
 
Mimi nilifikiria wewe ndiyo ungejitolea sasa kuwa huyo highly talented sniper kwa kujifunza mwenyewe kupitia utube, nk. Hii ingekaa vizuri sana. Kwa sababu una wazo zuri.

Si ulimuona hata yule Hamza! Hakuajiri mtu. Badala yake alichukua mashine na kuanza kuwatungua wabaya wake mmoja baada ya mwingine, mpaka pale na yeye walipo muotea.
Sawa sawa mkuu acha nilifanyie kazi hili pendekezo lako.

Maana hichi kitendawili cha nani atamfunga paka kengele wabongo walishashindwa kukitatua siku nyingi sana.
 
Back
Top Bottom