Polisi acheni uongo juu ya Padri aliyetekwa

Polisi acheni uongo juu ya Padri aliyetekwa

Hao vilaza wa division IV hata jina sahihi la kampuni hawawezi kuandika .

Jina sahihi ni eBay, sasa hicho walichokiandika wakienda mahakamani hawachomoki maana hiyo kampuni haipo na ndio yale yale ya akina Katuga kubadili charge sheet baada ya kugundua walichoandika mara ya kwanza hakina uhusiano wowote na uhaini wa kubumba.
 
Siongelei kuhusu hii ishu ila Kuna padri namjua ana mali zake binafsi na biashara nyingi tu hapa Iringa.
By the way RC wana msemaji wao wewe kuingilia hili suala ni kiherehere tu.
Je msemaji wao akijitokeza na kusema ni kweli?
Padri kufanya biashara ni Uongo wa mchana kweupe
 
Ila waTz tumekuwa mafala sana , hivi tunashindwa kuwaokota mmoja mmoja huko mitaani kabla ya October wawe wamebakia wachache tu
Mimi ninashangaa watu chini ya kumi wanasumbua nchi.
Kwa nini asishugulikiwe hata mwana mfalme ili utekaji wote ukome na hata Malkia ataachia ngazi ghafla
 
Mi nakwambia kitu ninachokijua wewe ambaye humjui Wala hujui alipo unabisha.
Hivi unahisi una akili timamu kweli? Au unaishi kwa kukariri na hutaki kuishughulisha akili yako kuamini vitu viko tofauti na vile unavyoamini.
Padri hawezi kufanya biashara direct Wewe tulia biashara ya Mapadre tunazijua ni shule wakati yeye anakua na hisa
 
Najua mambo mengi kuhusu kanisa Roman .

Kwanza mapadre au Mafather maisha Yao yote ya kitume yanagharamiwa na Kanisa, kila kitu anachokuwa nacho Padre anakuwa kapewa na Kanisa.

Sasa hayo Madeni yametoka wapi? Maana kama ni hela za Nini?. Kila kanisa PAROKIA Kuna nyumba za mapadri.

Ukitumia Common sense haingii akilini.!!

Polis wa Tanzania akili waliziacha wapi ?
Maana
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limesema Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mafinga, Jordan Kibiki hakutekwa kama ambavyo alieleza kwenye mtandao wa WhatsApp, isipokuwa alitoa taarifa za uongo baada ya kukabiliwa na madeni makubwa.

Anyway Rais wenu amesoma Pakistan na nchi inapelekwa ki pakistan Pakistan

Britanicca
Hawa viongozi wa kanisa waombe sana. Hapana, itabidi sisi sote kama waTanzania tunaolitakia mema taifa letu tuombe sana; kila mmoja kwa imani yake.
Awamu ya Samia ya miaka mitano kama itakuwepo; haya maswala ya imani za watu zitaleta matatizo makubwa.

Padre Kitima alisemwa kuwa alikuwa kwenye kilevi alipo gongwa na kitu butu kichwani; na hadi leo hii polisi hawana habari yoyote na swala lake.
Mtu kama Gwajima italazimu aihame nchi, hakuna namna nyingine.

Bila shaka, katika kutimiza azma ya msisitizo wa "AMANI" isiyo ambatana na "HAKI", kama hali ya kiimani nchini ilivyo jipambanua yenyewe, mengi yataonekana kuhusu hali hiyo katika awamu hiyo ya Samia madarakani.

Tuliombee sana taifa letu.
 
Screenshot_20250901-174941.jpg
Screenshot_20250420-205237.jpg

Polisi mpumbavu asiye na akili, hata aliyeishia la pili B can read between the lines kwamba anatumia nguvu za ziada kuulinda uzandiki na kuwalinda mazandiki, obviously the one behind abductions analielekeza jeshi la polisi nini cha kuongea.
Serikali na chama tawala ni uozo mtupu, eti padre kakimbia madeni, lol....!
Ila polisi wanatia huruma, kulazimishwa kutetea kitu kama hicho wakati anajua kabisa wenye akili timamu hawatamuamini.
 
Mimi ninashangaa watu chini ya kumi wanasumbua nchi.
Kwa nini asishugulikiwe hata mwana mfalme ili utekaji wote ukome na hata Malkia ataachia ngazi ghafla
Hivi Bongo hapa hatuna highly talented sniper kama Tyer Robinson?

Mimi niko tayari kumlipa kwa kazi maalumu.
 
Hawa viongozi wa kanisa waombe sana. Hapana, itabidi sisi sote kama waTanzania tunaolitakia mema taifa letu tuombe sana; kila mmoja kwa imani yake.
Awamu ya Samia ya miaka mitano kama itakuwepo; haya maswala ya imani za watu zitaleta matatizo makubwa.

Padre Kitima alisemwa kuwa alikuwa kwenye kilevi alipo gongwa na kitu butu kichwani; na hadi leo hii polisi hawana habari yoyote na swala lake.
Mtu kama Gwajima italazimu aihame nchi, hakuna namna nyingine.

Bila shaka, katika kutimiza azma ya msisitizo wa "AMANI" isiyo ambatana na "HAKI", kama hali ya kiimani nchini ilivyo jipambanua yenyewe, mengi yataonekana kuhusu hali hiyo katika awamu hiyo ya Samia madarakani.

Tuliombee sana taifa letu.
Binafsi naamini kabisa hata akipita salama huu mwaka kwenye huu uchafuzi wake anaojishindanisha yeye mwenyewe, hiyo miaka inayofuata hatamaliza muhula wake nakwambia..!!

Kwanza kuna uwezekano mkubwa sana tukaingia kwenye civil war kutokana na sababu kadhaa ikiwemo hiyo ya mgawanyo kwa misingi ya imani.

Na pia tunaenda kuwa na taifa dhaifu sana kiulinzi, maana yeye mwenyewe atakuwa anajua adui yake wa kwanza ni wanainchi maana tayari tutakuwa tumeshamtikisa kumtoa hapo kwenye hicho kiti, hivyo basi atajikuta anafanya allocation kubwa ya rasilimali za ulinzi kwenye ulinzi wake binafsi wakati huo sehemu zingine zikipata rasilimali kidogo na hivyo taifa kuwa vulnerable sana kwa maadui wa nje.

Kwa hicho kipindi chake kinachokuja kma ikitokea tukapata kikundi chochote wa waasi kikatuchallenge hatutakuwa na uwezo wa kukizuia, maana nina uhakika wapo vijana wazawa ambao wataungana na hao waasi kutokana na chuki kali waliyonayo kwa serikali na kukipa nguvu kikundi hicho... mwisho wa siku tutaanza kushuudia yale yanayotokea Goma hapa kwetu.

Kwa ufupi awamu yake hii inayofuata itakuwa na misuko suko sana, hata yale mabilion ambayo anaiba yeye mwanaye hawatayafaidi vizuri.

Samia nafikiri ndio anaweza kuwa raisi wa kwanza kuupisha utawala wa kijeshi kwenye nchi hii.
 
Najua mambo mengi kuhusu kanisa Roman .

Kwanza mapadre au Mafather maisha Yao yote ya kitume yanagharamiwa na Kanisa, kila kitu anachokuwa nacho Padre anakuwa kapewa na Kanisa.

Sasa hayo Madeni yametoka wapi? Maana kama ni hela za Nini?. Kila kanisa PAROKIA Kuna nyumba za mapadri.

Ukitumia Common sense haingii akilini.!!

Polis wa Tanzania akili waliziacha wapi ?
Maana
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limesema Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mafinga, Jordan Kibiki hakutekwa kama ambavyo alieleza kwenye mtandao wa WhatsApp, isipokuwa alitoa taarifa za uongo baada ya kukabiliwa na madeni makubwa.

Anyway Rais wenu amesoma Pakistan na nchi inapelekwa ki pakistan Pakistan

Britanicca

Hivi kuna mtu huwa anaamini taarifa zinazotolewa na polisi kwenye press zao? Ebu fuatilia press zao za nyuma kwa mfano:-

1. SISITIVII ya AIGIPI ZIRO kuhusu utekaji wa MO
2.ZCO Zombe kuhusu Wafanyabiashara wa Mahenge waliouliwa msitu wa PANDE na kusema ni majambazi.
3.Afande Muliro j4 - Sativa tulimuokoa maana alitekwa na Washikaji.
4....

Zipo nyingi sana ila nimeweka hizi za recently
 
Ni wajinga sana hao polis
 
Ila polisi siyo wa kuwaamini hata kidogo kwenye taarifa zao. Ni wazuri sana kwenye kutengeneza muvi. Hata kwenye sakata la kushambuliwa kwa Padre Dr. Charles Kitima, kama mhusika mwenyewe na rais wa TEC wasingetoka hadharani na kukanusha ule uongo wa kamanda Muli! Dunia ingeamini.

Hivi usikute hata huyu Padre ametengenezewa tu tukio. Hienda alikuwa anatoa mahubiri ya kuwakosoa watawala wanaopenda kusifiwa tu muda wote, hata kwenye mambo ya kijinga.
 
Kwamba ukiwa Padre huwezi kukopa au kufanya biashara? Huwezi kuwa na madeni?
Anakopa kwa kuweka dhamana ipi? Maana Padre haruhusiwi kumiliki mali, na pia haruhusiwi kufanya biashara binafsi. Mali zote! Iwe gari, fedha, biashara, shule, nk. Ni mali ya Kanisa. Na bahati mbaya zaidi Kanisa halikopi.

Jambo lingine; Padre haewezi kuwa na deni! Kwa sababu kila kitu anafanyiwa na Kanisa. Haruhusiwi kumiliki mali binafsi! Na Padre hawajibiki kwa familia (labda unaweza ukasema kakopa pesa mahali na kuwajengea wazazi wake nyumba)! Hili jambo halipo.

Kwa sababu siku ya kupewa daraja la Upadre, wazazi humkabidhi mtoto wao kuwa mali ya Kanisa. Na hivyo anakuwa hawajibiki tena kwao. Kwa hiyo polisi wana mengi ya kutuambia kuhusu madeni ya huyo Padri Kibiki.
 
Back
Top Bottom