Police wa Barabarani akiwa Kazini.

Police wa Barabarani akiwa Kazini.

Naona kwa sasa wanatafutwa kama pembe za ndovu,ushauri wangu muwe mnaenda nyumbani mbadilishe unifomu ndo muendelee na maisha,huu mpango wa kubana matumizi kwa kutumia uniform utawaaribia kazi.mazima
 
Haaaahaaa sasa hapo kosa lake ni nini haswa au kucheza pool ni dhambi unless tuthibitishiwe ulikua wakati wa yeye kua kazini maana hata kwenye ma-bwalo ya polisi wanayo iyo midude.
alimradi havajaa kofia maana yake hayuko zamu
 
Naona kwa sasa wanatafutwa kama pembe za ndovu,ushauri wangu muwe mnaenda nyumbani mbadilishe unifomu ndo muendelee na maisha,huu mpango wa kubana matumizi kwa kutumia uniform utawaaribia kazi.mazima
anajua hataruhusiwa kutoka tena, huwezi jua pengine mkewe ni afande pia
 
Naona kwa sasa wanatafutwa kama pembe za ndovu,ushauri wangu muwe mnaenda nyumbani mbadilishe unifomu ndo muendelee na maisha,huu mpango wa kubana matumizi kwa kutumia uniform utawaaribia kazi.mazima

Umeongea kitu chenye mantiki mno
 
Huyu afande anaishi kule Pugu Kajiungeni Dar es Salaam,akifika bar ana vituko ni balaa,anapiga miluzi hovyo,anatukana hovyo huwa namuona kama hamnazo. Nasikia siku hizi amapangiwa hapo Gongolamboto kituo kidogo.
 
attachment.php
 
Evidence beyond doubts
 
Jamaa anajitambua kweli? Au ni photoshop!
 
Sjui tatizo liko wapi?au ndio picha za kupost zimeisha.
 
du, jamani hivi matrafiki wetu wana laana gani? ni nani hasa aliyewalaani?
 
nimekumbuka ule wimbo wa ferooz mr policeman tunakudis kitaan ,.......ajali mbaya inatokea unalewa bar na kucheza pull table ,kwa mtindo huu ajal hazitaepukika
 
kama yupo bwalo la polisi MESS baada ya kazi? kuna kosa

Lazima muelewe nini maana ya kuvaa sare hasa zile rasmi zinazokuwa na nembo ya Taifa, kama angekuwa kavaa kawaida hiyo picha wala isingekuwa na maana yoyote ile! Ishu hapo ni mavazi
 
GKM wewe si polisi?? Ona mwenzako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom