Kutoka Police Force kuwa Police Service!

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
13,408
Reaction score
18,885
Nimesikiliza Leo bungeni, mbunge Ado akiichangia kutaka mfumo wa police uwe wa police service!

Najiuliza wataanza upya mafunzo? Na Hawa waliopo madarakani Police watabadilika au wataachishwa kazi? Mazoea mabaya!

Ahsanteni sana .
 
Najiuliza wataanza upya mafunzo?Na Hawa waliopo madarakani police watabadilika au wataachishwa kazi?Mazoea mabaya!

Ahsanteni sana .
Kwenye mabadiliko huwa nabadilika kimuundo, ofcourse kuna vitu kadhaa vitabadilika kimafunzo (si mafunzo yote), sometiems even structure ya vyeo.

Hii kitu simbachawene alizungumzia
Baadhi ya watu maarufu kutoka upinzani wamezungumzia
 
Wakianzisha hiyo police service, waajiriwe wasomi wa kuanzia stashahada, shahada, nk. Halafu hawa vilaza wote wa sasa warudi mtaani kufanya kazi ngumu za kuchimbua mitaro ya barabara.
 
Watahitajika kulinda mabenki, viongozi,na escort za baadhi ya makampuni ya mauzo na Fedha!
 
Kwenye mabadiliko huwa nabadilika kimuundo, ofcourse kuna vitu kadhaa vitabadilika kimafunzo (si mafunzo yote), sometiems even structure ya vyeo.

Hii kitu simbachawene alizungumzia
Baadhi ya watu maarufu kutoka upinzani wamezungumzia
Simbachawene alipolizungumzia pia ya kuvaa kininja,watawala wakamtoa!
 
Nimesikiliza Leo bungeni, mbunge Ado akiichangia kutaka mfumo wa police uwe wa police service!

Najiuliza wataanza upya mafunzo? Na Hawa waliopo madarakani Police watabadilika au wataachishwa kazi? Mazoea mabaya!

Ahsanteni sana .
Ni upumbavu wa grade 1 tuu. Linabadilishwa jina ila matendo ni yale yale. Mbona Tume ya Uchaguzi ilibadilishwa jina vipi utendaji na wizi wa kura vilibadilika? Tena ile ya awali ilikuwa afadhali kuliko hii iliyobadilishwa jina.
 
Sio Tanzania, maana bila Polisi hii ya sasa CCM haipo.
 
Nimesikiliza Leo bungeni, mbunge Ado akiichangia kutaka mfumo wa police uwe wa police service!

Najiuliza wataanza upya mafunzo? Na Hawa waliopo madarakani Police watabadilika au wataachishwa kazi? Mazoea mabaya!

Ahsanteni sana .
Usiwasikilize hawa. Wakileta mabadiliko chanya, CCM inakufa kwani haitakuwa na chombo cha kuibeba. By the way polisi inatakiwa kubadilishwa muundo kabisa. Tuwe na local polisi eg kila mkoa uwe na local polisi yake na polisi watokane na jamii husika. Halafu kuwa na polsi ya kitaifa ambayo ita deal na mambo ya kitaifa na pale inapobidi au kuombwa ndiyo isaidie local polisi.
 
Kweli CCM itakufa:,SI police wote wanaipenda CCM!
 
Ni upumbavu wa grade 1 tuu. Linabadilishwa jina ila matendo ni yale yale. Mbona Tume ya Uchaguzi ilibadilishwa jina vipi utendaji na wizi wa kura vilibadilika? Tena ile ya awali ilikuwa afadhali kuliko hii iliyobadilishwa jina.
Kwa Maana hiyo ni kiinimacho!
 
Back
Top Bottom