Police wa Barabarani akiwa Kazini.

Police wa Barabarani akiwa Kazini.

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
6,028
Reaction score
5,359
Vipi hapo wakuu
 

Attachments

  • 1413485627559.jpg
    1413485627559.jpg
    42.8 KB · Views: 2,284
Hapo wapi mkuu mbona namfananisha na rafiki yangu mmoja ambae ni trafic!??km ni maeneo ya Bgrn au Ilala anaweza kua ni yy!!
 
Hana tumia fursa iliyopo

Kweli mkuu kwa nyuma tu namfananisha na mchizi wangu tulikua pamoja toka watoto hapo Bgrn police baba zetu ndo walikua mapolice ila kwa sasa wamestaafu na Jana tu tulionana maeneo ya Bgrn sokoni!!
 
Anayejua starehe anakula raha sana yaan; Big up afande kazi na dawa
 
hawa polisi wa ccm ni wapuuzi kama ccm
 
Hapa nadhani ni baada ya kumaliza kunywa supu akaona ngoja apige kete kwanza....ila sio mbaya jamani
 
Jamani nao ni binadamu kama sisi

Hata sisi kuna tunapokosea, tusishabikie anguko la mwingine
 
Haaaahaaa sasa hapo kosa lake ni nini haswa au kucheza pool ni dhambi unless tuthibitishiwe ulikua wakati wa yeye kua kazini maana hata kwenye ma-bwalo ya polisi wanayo iyo midude.
 
Back
Top Bottom