jeykey akikandamizwa na polisi hapo juu:A S 465::A S 465::A S 465:
hao polisi yani duh!
Ni kweli kabisa habari isiyo na chenga polisi mmoja kafa baada ya kuchomwa kisu shingoni ila jamaa naye aliuawa kwa kushonwa risasi za kutosha. Ni kijana wa Dep ya hivi karibuni ukitoa ile iliyopo CCP Moshi. Hilo halijaripotiwa kwa sababu ni aibu na litawatia ujasiri wananchi kuua polisi katika ghasia za kila kukicha. Hivyo ukiangalia kwa umakini ni watu watatu ilitakiwa itangazwe hivyo raia wawili na askari mmoja.
Nakuaminia mzee wa Rula!Ni kweli kabisa habari isiyo na chenga polisi mmoja kafa baada ya kuchomwa kisu shingoni ila jamaa naye aliuawa kwa kushonwa risasi za kutosha. Ni kijana wa Dep ya hivi karibuni ukitoa ile iliyopo CCP Moshi. Hilo halijaripotiwa kwa sababu ni aibu na litawatia ujasiri wananchi kuua polisi katika ghasia za kila kukicha. Hivyo ukiangalia kwa umakini ni watu watatu ilitakiwa itangazwe hivyo raia wawili na askari mmoja.
Eti nchi ya amani hiyo. Eti ndicho wanaita amani. teh teh teh teh teh teh teh teh! ama kweli nchi imeingiliwa na midudu!
WanaJF nimeongea na mdau mmoja wa Arusha anasema katika zile vurugu za Arusha kuna jamaa alimchoma visu police officer na kumuua lakini police Arusha wanafanya kila wawezalo kufunika hiyo ishu. Pia gari la maji ya kuwasha lilivunjwa vioo. Mwenye data zinazofanana na hizi atujuze tafadhari