mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,296
- 13,740
Tanzaniatuna Amani sana huwezi kuta askari anapiga raia risasi hovyo hivyo labda uwe JAMBAZI ... Bora kua MBWA DAR kuliko kua mtu mweusi marekani...(najua kuna pingapinga litani-quote kunikumbusha habari za Akwilina) lakini huwezi linganisha na kwakina Freedom and Liberty


tuna Amani sana huwezi kuta askari anapiga raia risasi hovyo hivyo labda uwe JAMBAZI ... Bora kua MBWA DAR kuliko kua mtu mweusi marekani...(najua kuna pingapinga litani-quote kunikumbusha habari za Akwilina) lakini huwezi linganisha na kwakina Freedom and Liberty