Police brutality in USA

Wazungu wanadeal na African American kama kima shambani, yaani hakuna tahadhari yoyote ile kuhusu uhai wa hawa watu.

Nafkir umefika muda sahihi na hawa Wamerekani weusi nao kulipiza kisasi kila tukio linapotokea walau hawa Askari wajifunze kiwa hawa nao ni binaadamu sawa na wengine.
 
Very sad indeed nililia siku hili tukio lilipotokea na muuaji aliachiwa huru kwenye kesi yake eti hakuwa na hatia ila state ilimlipa huyu dada millions in $$$.

This is utterly disgusting. We have such a long way to go. Sad!
 
Wala HAKUWATOROKA polisi, alisimamishwa na huyo polisi akasimama bila ubishi.

Kwanini alikuwa anawatoroka police. Waamerica weusi nao Wana mapungufu mengi Sana . Sometimes tusitete kila kitu tunaangalie uhalisia
 
Very sad indeed nililia siku hili tukio lilipotokea na muuaji aliachiwa huru kwenye kesi yake eti hakuwa na hatia ila state ilimlipa huyu dada millions in $$$.
Kumbe alikuja kuachiwa.? Ila kazi alifutwa na kuhamishwa? Nilisikia kitu kama hiki.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Despite the verdict, though, officials with the city of St. Anthony, where Officer Yanez has worked for several years, issued a statement late Friday saying that they had “concluded that the public will be best served if Officer Yanez is no longer a police officer in our city.” They said they planned to offer him a “voluntary separation agreement.” In the meantime, the city said, he will not be returning to patrol.

Kumbe alikuja kuachiwa.? Ila kazi alifutwa na kuhamishwa? Nilisikia kitu kama hiki.
 
US Police Appeal To Public To Stop Filming Them Shooting Black People
March 2, 2015 - BREAKING NEWS, WORLD NEWS

POLICE in the United States have launched an appeal to the public to try and curb the amount of recordings of black people getting shot turning up online.

The plea comes after a video was posted on YouTube showing LAPD officers struggling with a homeless man in broad daylight before shooting him to death.


Officers responding to a burglary call in the impoverished Skid Row area of LA got into an altercation with a homeless man known only as “Africa”, before opting to end b the struggle by the application of bullets to the heads.

The video, the latest in the “US cops shoot black people” genre, was met with fury from across the online community, which led the chief of police in Los Angeles issuing a heartfelt statement to the public.

“It is with great regret that I inform you all here about the recording of 6 of my officers shooting a homeless man turning up online,” said Mike Lockhard, wiping tears from his eyes.

“In these trying times, we would appeal to those of you with smart phones, tablets or Super 8 video cameras, to please refrain from capturing footage of our officers as they kill people on the streets. It’s really, really making us look bad folks. Knock it off”.
The killing in LA brings the number of black people shot to death by police this year to an unconfirmed amount, as everyone has kinda stopped counting at this stage. 😳😳😳
 
Tanzania 🇹🇿 tuna Amani sana huwezi kuta askari anapiga raia risasi hovyo hivyo labda uwe JAMBAZI ... Bora kua MBWA DAR kuliko kua mtu mweusi marekani...(najua kuna pingapinga litani-quote kunikumbusha habari za Akwilina) lakini huwezi linganisha na kwakina Freedom and Liberty
 
Back
Top Bottom