DOKEZO Polepole yuko polisi Mabwepande/Mbweni

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Inaweza pia kuwa hata hiyo ya kutekwa ni smoke screen ili kutengeneza legitimacy ya kumtoa Samia. Kwa tulipofikia chochote kinawezekana.
 
Mange kasema wame mpeleka kigamboni uko wewe mwebepande sawa yule kaleta kabisa na picha ya gari walilo mteka mpaka na kikundi chake tuletee na kaushaid wa picha sio manenk tu haya toshi
Nyie ndio wale matomaso, sasa picha ushaziona kwa Mange kwa bri unataka akupe picha gani??

Mambo mengine muwe mnakausha kuficha ujinga uliopo kichwani mwako..
 
HAdi saa 4:30 tutakuwa eneo la Mabwepande, tuthibitishie tumtoe sisi hapo ni mwendo mfupi kutoka hapa.
Safi sana ,huo ndio uaname bana, jitafuten mfike 100, Kwa kuanzia Hilo wengine wataunga foleni
 
Tusaindieni mkuu
 
Mafwele tunamchekea sana yaan jamaa anapewa hype sana kutesa na kuua na anajulikana why bado anaishi?
 
Kwa style waliyotumia kumkamata ya kuvamia makazi yake, sidhani kama wanaweza kumpeleka mahakamani kwasababu teyari na wao wamefanya uhalifu.

Na kama ni Polisi, inakuwaje RPC hajui Polepole yuko wapi?

Mpaka hapa wasijukikana wameshajulikana.
Mkuu, hivi wewe bado una nafasi kwenye moyo wako ya kuamini wanachokisema police wa nchi hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…