Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Unao ushahidi? Au unaishi kwa kusikia tu?Polepole ni mnafiki tu kama wanafiki wengine, ni mtu wa kuangalia maslahi yake binafsi, zile pesa alizotumia kununua wapinzani katika uchaguzi uliopita zingeweza kuwa na tija kama zingetumika katika maendeleo.
Pole pole ni mchumia tumbo.
Pamoja na uchumia tumbo wake lakini hataki nyie wahuni mtafune lasilimali za nchi kiholela.Polepole ni mnafiki tu kama wanafiki wengine, ni mtu wa kuangalia maslahi yake binafsi, zile pesa alizotumia kununua wapinzani katika uchaguzi uliopita zingeweza kuwa na tija kama zingetumika katika maendeleo.
Pole pole ni mchumia tumbo.
Wewe jamaa ni takataka huu ujumbe umekuvunjia sana heshimaPamoja na uchumia tumbo wake lakini hataki nyie wahuni mtafune lasilimali za nchi kiholela.
Kwa hiyo mafisi mlio ndani ya CCm na Upinzani na wale wasio na chama baneni midomo yenu kwenye mali za nchi.
Umemaliza kila kitu mkuu wangu Polepole ni snitchPolepole anajaribu kujisafisha kwa utumbo alioufanya kipindi cha jpm. Unafiki umemjaa sana kikongwe huyu! Alihujumu uchaguzi 2020 saivi anajifanya anatufundisha demokrasia! Katika uongozi wao na bashiru watu walitekwa na kuuawa saivi anajifanya anatetea wanyonge! Katiba mpya n muhimu sana ili kuwajibisha kenge km hawa!
Si alikua mhuni kama meko sasa nae anapitia yaleyale serikali yake iliyopitisha kuwazuia wapinzani wasisema,atulie tu asikilizie kilainishi chake kinavyopita kwenye mtaro wake,bladifakeniHakuna mtanzania anayefurahi kuona kuna mgao wa umeme, kuona mradi muhimu kama JNHP unachelewa kwa mizengwe, na kuona mradi kama bandari ya Bagamoyo unapigiwa debe huku kuna bandari ya Tanga na Dsm.
Watanzania wenye nia njema na taifa lao wapo na wewe. Pambana na usikate tamaa mpaka mwisho. Kumbuka wewe ni sauti ya umma na unatumika kama microphone.
My take; Ukiona wahuni wanatumia njia za msituni kupambana na hoja ujue wamekwama.
Ni mshenzi sana.. kwake yy kufukuza machinga anaona n dhambi kubwa kuliko mauaji waliyoyafanya wakiwa in power!Umemaliza kila kitu mkuu wangu Polepole ni snitch