Polepole: Uhamiaji fuatilieni uraia, kuna baadhi ya watu si wenzetu!

Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Too late, chocolate mtachofanya itaonekana mnamuonea na kinasambaa duniani within minutes.

Hapo ndipo watu watashangaa nini tofauti Tanzania na Burundi
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda pesa za maendeleo pesa za walipa kodi zote zinatumika kudidimiza demokrasia kuihujumu kuidhoofisha chadema badala ya maendeleo, pesa inayotumika kwa mambo yasiyo na tija kwa Taifa ni nyingi kuliko inatumika kwa maendeleo
Sababu ya ujamaa ulioletwa na ccm, ujamaa ni udikteta,lengo kuu kuwasomesha watu namba ili wawe masikini kimakusudi ili waweze tawaliwa,why mkoloni kaja nchi mda mfupi Sana kafanya makubwa Sana kuliko ccm Ina miaka 60 imeshindwa hata tu kufuta nyumba za nyasi Karne ya Sasa unaishi kwenye nyasi we ni mbuzi.
Pamoja na kuwaletea watz umasikini na ujinga ili itawale milele, njaa imewaunganisha watz wote si mijini si vijijini kote ccm wameikataa Hadi wameogopa kupeleka fiesta kusini Lindi na Mtwara sababu Hawana majibu korosho zao walizipeleka wapi?
 
Yaani CCM mtu akishakua na kacheo hata ka kufagia lumumba ana mamlaka ya kuwaamrisha mpaka uhamiaji na kuwafundisha namna ya kufanya kazi

Shame on you slow slow
Sio tu kuamrisha uhamiaji, wanaamrisha kila idara na kila taasisi, ndio maana tunahitaji uhuru ili kila taasisi ifanye kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na mkoloni ccm.
Tundu atosha.
 
Too late, chocolate mtachofanya itaonekana mnamuonea na kinasambaa duniani within minutes.

Hapo ndipo watu watashangaa nini tofauti Tanzania na Burundi
Mipango ya kishamba kishetani yote ya CCM inavuja kwa kasi ya 6G kwa sababu wananchi wameichoka CCM wanavujisha kila kitu kwa uwazi
 
wewe akili huna ccm wameshashinda kabla hata ya uchaguzi...hata watanzania wote wapigie chadema ..hujui nchi inaendeshwa vipi
j
Sio mwaka huu. Na wengi wanaosema maneno kama haya ni wale ambao kula yao inategemea uwepo wa ccm madarakani.
 
unaota mchana wewe...subutu............tume gani itamtangaza lissu
Tumeccm hiyo hiyo chombo binafsi cha CCM kwani watakuwa chini ya ulinzi ya jumuia za haki za binadamu Duniani na pia Duniani nzima wameilaani siku ya kura way watashikwa na ganzi wataigeuka CCM
 
Mipango ya kishamba kishetani yote ya CCM inavuja kwa kasi ya 6G kwa sababu wananchi wameichoka CCM wanavujisha kila kitu kwa uwazi
Wao ilikuwa wamzuie asirudi.

Kwa sasa ni point of no return, tena kaunga na na kichwa kigumu mwenzake (Issa Ponda) tujiandae tu.
 
Tumeccm hiyo hiyo chombo binafsi cha CCM kwani watakuwa chini ya ulinzi ya jumuia za haki za binadamu Duniani na pia Duniani nzima wameilaani siku ya kura way watashikwa na ganzi wataigeuka CCM
subutu.......muulize maalim sefu...walienda mpaka mahakama ya kimataifa..wapiiiii........ccm itashinda hata aje nani
 
subutu.......muulize maalim sefu...walienda mpaka mahakama ya kimataifa..wapiiiii........ccm itashinda hata aje nani
Seif hakufika ICC kipindi kile alikwenda mahakama zingine za haki za binadamu, lakini sasa ni mwaka 2020 ICC tayari wanao wapelelezi wa Tanzania wanafanyia kazi kila unyanyasaji wa CCM kwa wapinzani
 
Seif hakufika ICC kipindi kile alikwenda mahakama zingine za haki za binadamu, lakini sasa ni mwaka 2020 ICC tayari wanao wapelelezi wa Tanzania wanafanyia kazi kila unyanyasaji wa CCM kwa wapinzani
subili uwone tarege 28
 
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Muulizeni yeye kwanza: Athibitishe uraia wake kwa kuleta cheti chake , cha baba na mama yake, na cha babu na bibi yake. Short of that, naye siyo raia.
 
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Bila shaka yeye anatakiwa kuchunguzwa maana kisura chenyew hakieleweki kizee kibabu au kijana....
 
Back
Top Bottom