Polepole: Uhamiaji fuatilieni uraia, kuna baadhi ya watu si wenzetu!

Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Kweli ujinga mzigo chakubanga nae ni komredi
 
unajua watu wanapoteza muda...cuf walishinda mara 2 zaznibar....ilipigiwa simu mwinyi wakakutana na waru wa usalama wakamaliza
Mwaka 2020 jumuia za kimataifa zinataka kufanya yake history za nyuma hazitatumika wanataka kuja kivingine ili CCM ipate fundisho
 
Tena in gekuwa vizuri uhamiajo wakaanza na wagombea wa ccm, maana kuna taarifa za baadhi ya wagombea wa chama hicho kuwa na asili ya Burundi!
 
unajua watu wanapoteza muda...cuf walishinda mara 2 zaznibar....ilipigiwa simu mwinyi wakakutana na waru wa usalama wakamaliza
Tena mchezo wote kaanza kufanya Nyerere.

Salmin alikuwa akimletea jeuri sana Nyerere, lakini hapo alipiga magoti.
 
Mbona unaonyesha woga sana mkuu,

Acha watu wafanye kazi yao.

Isijekuwa tu Lisu kaficha the fact kwamba amebadili Uraia.

Ikibainika habari take inaishia hapo.

Anarudi kwao Belgium.
Bila wewe kumpiga risasi Lisu asingefika Belgium, chanzo cha majeraha ya Lisu ni wewe
 
Hahaha kwani ni mara ya kwanza wageni kuishi nchini au yeye ndiye siyo mwenzetu?!

Afunge balozi zote na afukuze wageni wote ndani ya masaa 48, hata Idd Amin alifanya hivyo na akaondoa wageni aliokuwa hawataki.
CCM itawafukuza mwenyekiti wa CCM na katibu mkuu?
 
Kubadili chama sio dhambi, nchi ni katiba bora na sio chama, chama chochote chaweza kuongoza nchi kinapoaminiwa na wengi.
Kuongozwa na chama kimoja mda mrefu udumaza maendeleo, thus miaka 60 hakuna maendeleo, bora hata wangemuachia mkoloni atuongoze tungekuwa mbali Sana sawa na latin america.
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda pesa za maendeleo pesa za walipa kodi zote zinatumika kudidimiza demokrasia kuihujumu kuidhoofisha chadema badala ya maendeleo, pesa inayotumika kwa mambo yasiyo na tija kwa Taifa ni nyingi kuliko inatumika kwa maendeleo
 
Back
Top Bottom