johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Kwanini leo?
Wamejulikana leo?Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.
Chanzo: Eatv
My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini
Maendeleo hayana vyama!
Aanze kutonyesha vyeti vya kuzaliwa vya mgombea wake,ili shakashaka iondokeKomredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Hii itafika hadi kule Rombo!Kwanini leo?
Yeye nani?Tuanze na yeye huyo uraia wake bila ya shaka una walakini.
Yaani CCM mtu akishakua na kacheo hata ka kufagia lumumba ana mamlaka ya kuwaamrisha mpaka uhamiaji na kuwafundisha namna ya kufanya kaziKomredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.
Chanzo: Eatv
My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini
Maendeleo hayana vyama!
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.
Chanzo: Eatv
My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini
Maendeleo hayana vyama!
Tuanze na YEYE KWANZAKomredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.
Chanzo: Eatv
My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini
Maendeleo hayana vyama!