Polepole: Uhamiaji fuatilieni uraia, kuna baadhi ya watu si wenzetu!

Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
Yaani CCM mtu akishakua na kacheo hata ka kufagia lumumba ana mamlaka ya kuwaamrisha mpaka uhamiaji na kuwafundisha namna ya kufanya kazi

Shame on you slow slow
 
"Watu wakikosa sera, wanahamia kwenye mambo ya kijinga km uraia, ukabila, udini, ukanda, nk ili kupata legitimacy huko" - Nyerere. Madaraja na mabarabara yameshindwa kuwasaidia kwa sababu hayawezi kuwa mbadala wa haki na uhuru.
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.

Chanzo: Eatv

My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini

Maendeleo hayana vyama!
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom