Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,530
- 43,919
Hahhahaa bakora hizo umehamia kukejeli dini inajulikana Wafuasi wa Chadema mna chuki sana na Waislam na ni ngumu kutofautisha Kanisa na Chadema.Takbiiir

Wadau Nawasalimu
Watanzania tunasubiri Kujua Hatima ya Makada 3 wa CCM ambao Wanatakiwa kufika mbele ya Kikao Kizito cha Chama.Makada hao ni Pamoja na Humphrey Polepole,Jerry Slaa na Askofu Gwajima.
Kwa jinsi Walivyojipanga MAKADA hao Wataibwaga CCM Mchana Kweupe bila Ubishi na KUOMBWA RADHI kutokana na Jinsi Walivyo Muhimu kwenye Chama chao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Sidhani ma sioni hilo likitokea. Hao hawana lolote la kuitishia serekaliWadau Nawasalimu
Watanzania tunasubiri Kujua Hatima ya Makada 3 wa CCM ambao Wanatakiwa kufika mbele ya Kikao Kizito cha Chama.Makada hao ni Pamoja na Humphrey Polepole,Jerry Slaa na Askofu Gwajima.
Kwa jinsi Walivyojipanga MAKADA hao Wataibwaga CCM Mchana Kweupe bila Ubishi na KUOMBWA RADHI kutokana na Jinsi Walivyo Muhimu kwenye Chama chao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Naona siku hizi Ritz umerudi kwa kasi jukwaani baada ya yule mtawala wa kusukuma kudanja. Hichi kibibi cha kikojani huenda kitakuwa kinakulipa fresh.
Hiyo ni ndoto ya mwehu,wewe unaijua ccm?Wadau Nawasalimu
Watanzania tunasubiri Kujua Hatima ya Makada 3 wa CCM ambao Wanatakiwa kufika mbele ya Kikao Kizito cha Chama.Makada hao ni Pamoja na Humphrey Polepole,Jerry Slaa na Askofu Gwajima.
Kwa jinsi Walivyojipanga MAKADA hao Wataibwaga CCM Mchana Kweupe bila Ubishi na KUOMBWA RADHI kutokana na Jinsi Walivyo Muhimu kwenye Chama chao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Ukweli ni kwamba Humphrey Pole Pole hana historia ya kufeli Shuleni. Nakushauri ujiridhishe kabla ya kuongelea masuala binafsi ya mtu yeyote kwenye Jamvi kama hili.Kama ni kufeli darasani hata Pole Pole ni failure, tena failure mbaya akiwa secondary.
Tatizo kubwa la vijana wa CCM ni kufikiri kwa kutumia tumbo badala ya ubongo, na hiyo inatokana na mfumo wa CCM kuwafanya hivyo. Kama huamini, jaribu kuangalia wale vijana wote machachari waliokuwa upinzani halafu wakahamia CCM na kupewa vyeo, sikiliza wanachosema sasa na kukifanya, ni upuuzi mtupu.
Kuwa mwanaCCM tu, huko ni kulaaniwa.
Unajua pale CCM sioni mtu mwenye ushawishi kama polepole maana amejipambanua kutetea wananchi! Lakini pia Gwajima ni hot kwa kuongea mambo nyeti ukimwangalia Slaa nae ni shida yuko vizuri! Yaaani ile kamati vichwa panzi lazima waheme kwa nondo!Namkubali mh PolePole anajua kujenga hoja na ana madini mengi kichwani
Kwanini unaita watu wahuni? Ao wahuni wakina nani?Wadau Nawasalimu
Watanzania tunasubiri Kujua Hatima ya Makada 3 wa CCM ambao Wanatakiwa kufika mbele ya Kikao Kizito cha Chama.Makada hao ni Pamoja na Humphrey Polepole,Jerry Slaa na Askofu Gwajima.
Kwa jinsi Walivyojipanga MAKADA hao Wataibwaga CCM Mchana Kweupe bila Ubishi na KUOMBWA RADHI kutokana na Jinsi Walivyo Muhimu kwenye Chama chao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Yaani hawajamaa wanatosha kuanzisha chama chao na wataungwa mkono vibaya mno…Wadau Nawasalimu
Watanzania tunasubiri Kujua Hatima ya Makada 3 wa CCM ambao Wanatakiwa kufika mbele ya Kikao Kizito cha Chama.Makada hao ni Pamoja na Humphrey Polepole,Jerry Slaa na Askofu Gwajima.
Kwa jinsi Walivyojipanga MAKADA hao Wataibwaga CCM Mchana Kweupe bila Ubishi na KUOMBWA RADHI kutokana na Jinsi Walivyo Muhimu kwenye Chama chao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Unajua pale CCM sioni mtu mwenye ushawishi kama polepole maana amejipambanua kutetea wananchi! Lakini pia Gwajima ni hot kwa kuongea mambo nyeti ukimwangalia Slaa nae ni shida yuko vizuri! Yaaani ile kamati vichwa panzi lazima waheme kwa nondo!
Mnataka kutuaminisha POLEPOLE, SILAA, GWAJIMA ni wakubwa kuliko LOWASSA, MEMBE, KINANA, SOPHIA SIMBA na MAKAMBA??
Unajua pale CCM sioni mtu mwenye ushawishi kama polepole maana amejipambanua kutetea wananchi! Lakini pia Gwajima ni hot kwa kuongea mambo nyeti ukimwangalia Slaa nae ni shida yuko vizuri! Yaaani ile kamati vichwa panzi lazima waheme kwa nondo!
Hata wewe Mwagito?Sukuma gang
Takbiiiiir!Hahhahaa bakora hizo umehamia kukejeli dini inajulikana Wafuasi wa Chadema mna chuki sana na Waislam na ni ngumu kutofautisha Kanisa na Chadema.
Hahaha amepanic mnoooDuuii hata Ritz nae.....naona jazba soon