Polepole mjanja Tu anakimbia njia iliyoko Cuba.

Polepole mjanja Tu anakimbia njia iliyoko Cuba.

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,331
Reaction score
4,241
Mods watu wangu wa nguvu badilisheni hapo kwenye heading njaa badala ya njia.

Jamaa mjanja mjanja tu. Cuba sasa hivi Kuna njaa Kali. Mgao wa Kila kitu kwaanzia chakula, maji na umeme.

Mwana kaona atoroke Kwa njia ya kujiuzulu.

Na afunguliwe Tu kesi ya uhujumu uchumi. Kwasababu alipiga Sana hela za wajumbe alipokuwa katibu Mwenezi Kwa kuwadanganya atapitisha majina Yao.
 
Zamani ilikuwa kiingereza Sasa hadi kiswahili nacho kimeanza kuwapiga chenga watanzania
Hali inazidi kuwa mbaya 🤔
 
Soma tena kile umeandika mkuu. Naona kama spidi ilikuwa kali sana kiasi kwamba.....
 
nafikiri balozi wa tanzagiza USA, japani au nchi yoyote ile tajiri ana njaa klk balozi wa tanzagiza kwenye nchi masikini, na sababu ni living expenses, nchi masikini dola inakufikisha mbali klk nchi tajiri.

hivyo haiwezi kuwa njaa, njoo kivingine …
 
Back
Top Bottom