Polepole: Magereza ni wazalishaji na tuliwaunga mkono ili wapandishe bendera za CCM mitaani na risiti ya malipo tunayo

Mwenezi wa CCM komredi Polepole amelitolea ufafanuzi tukio la wafungwa kupandisha bendera za CCM huko Dodoma.

Polepole amesema kama ilivyo kwa JKT na JWTZ hata jeshi la magereza linafanya uzalishaji na CCM iliamua kuwaunga mkono kwa kununua Huduma ya nguvu kazi na risiti ya malipo ipo.

Polepole amesema hata Ofisi za CCM makao makuu zinalindwa na Suma JKT ambayo ni taasisi ya jeshi na hii yote ni katika kuziunga mkono taasisi hizi.

Polepole alikuwa akihojiwa na mtangazaji wa ITV Fahmi Midle

Source: ITV Kumekucha
Na polic kupanga viti ukumbini Kisha kulinda bendera za chama usiku, tunataka wakapange viti ofisi za Chadema na usiku walinde bendera za Chadema, maana wao wao ndo huzishusha
 
Back
Top Bottom