johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,018
- 142,058
Akuoneshe wewe nani?atuonyeshe kwanza risit ya manunuzi yake na wajumbe wenzie wa Tume ya Warioba.
mimi risit yangu hii hapa chini
wewe unaniuliza kama naniAkuoneshe wewe nani?
Nyie mliimba Lowasa ni fisadi miaka zaidi ya 10, alipokuja kwenu tu mkampa nafasi ya kugombea urais. So wote ni wanafiki tu, Polepole na CDM yenuatuonyeshe kwanza risit ya manunuzi yake na wajumbe wenzie wa Tume ya Warioba.
mimi risit yangu hii hapa chini
Kama boss wakowewe unaniuliza kama nani
Weka lisit hapa acheni unaaNyumbu na hili watabisha tu