PolePole hatoongea chochote cha maana acha niwasanue

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
1,177
Reaction score
2,551
Kama ana uchungu na Tz, ni nini kinamzuia kuongea hapo hapo??.....ni anataka kuogopewa ili kupata maslahi yake binafsi??

Nyie wa tz kina Mshana Jr, mbona akili zenu ndogo sana, yaani mnategemea mtu ambaye anawapa Dola mda wa maamuzi, maamuzi yapi sasa wajinga nyie?? huoni kama anataka atimiziwe maslahi yake binafsi??

Ww Mshana Jr, tambua Tz imeoza kweli ila kuwategemea polepole na Gwajima ni uongo, TENA NI UFALA MKUBWA SANA NA HAMNA AKILI.

Mtu pekee wa kumwamini na kumpigania ni TUNDU LISSU ambaye kwa sasa yupo gerezani... sawa nyie wajinga

Kuhusu inshu ya Polepole na Gwajima nipo pale, ni hamna kitu hawa wote wamepangwa na CCM..... Mshana Jr mark this
 
Kama ana uchungu na Tz, ni nini kinamzuia kuongea hapo hapo??.....ni anataka kuogopewa ili kupata maslahi yake binafsi??

Nyie wa tz kina Mshana Jr ,,, mbona akili zenu ndogo sana,,, yaani mnategemea mtu ambaye anawapa Dola mda wa maamuzi, maamuzi yapi sasa wajinga nyie??,,, huoni kama anataka atimiziwe maslahi yake binafsi??

Ww Mshana Jr, tambua Tz imeoza kweli ila kuwategemea polepole na Gwajima ni uongo,,, TENA NI UFALA MKUBWA SANA NA HAMNA AKILI.

Mtu pekee wa kumwamini na kumpigania ni TUNDU LISSU ambaye kwa sasa yupo gerezani.....sawa nyie wajinga

Kuhusu inshu ya polepole na Gwajima nipo paleeee, ni hamna kitu hawa wote wamepangwa na CCM..... Mshana Jr mark this
Acha kuhara 21st to remember bado masa kadhaa
 
mzee katibu kwanza UTI huko buza, ila kweli slow slow hana lolote.
 
Unajaribu kusema ccm imemtuma Pole Pole na Gwajima kumsemea Lissu Ili achiwe?
We na akili yako hiyo ndogo,, unahisi alichokiongea ndio lissu atatoka gerezani???.... siasa ni mchezo mchafu sawa ww mjinga?
 
Kama ana uchungu na Tz, ni nini kinamzuia kuongea hapo hapo??.....ni anataka kuogopewa ili kupata maslahi yake binafsi??

Nyie wa tz kina Mshana Jr ,,, mbona akili zenu ndogo sana,,, yaani mnategemea mtu ambaye anawapa Dola mda wa maamuzi, maamuzi yapi sasa wajinga nyie??,,, huoni kama anataka atimiziwe maslahi yake binafsi??

Ww Mshana Jr, tambua Tz imeoza kweli ila kuwategemea polepole na Gwajima ni uongo,,, TENA NI UFALA MKUBWA SANA NA HAMNA AKILI.

Mtu pekee wa kumwamini na kumpigania ni TUNDU LISSU ambaye kwa sasa yupo gerezani.....sawa nyie wajinga

Kuhusu inshu ya polepole na Gwajima nipo paleeee, ni hamna kitu hawa wote wamepangwa na CCM..... Mshana Jr mark this
Ukiona viongozi au watu wenye jina kubwa na ushawishi wakigeuka na kukosoa utawala, mara nyingi inamaanisha imani ya jamii kwa uongozi huo inaanza kuyumba...

Ni dalili ya uongozi kupoteza uhalali wake kwa jamii...

Wenye ushawishi wanapopinga, mara nyingi huwa ni dalili ya mpasuko mkubwa ndani ya uongozi na mara nyingi inaonyesha kwamba uongozi uliopo hauna ridhaa kamili ya wananchi....

Mwanzoni ni manung’uniko ya chini kwa chini, kisha inakuwa mijadala ya waziwazi, na hatimaye inaweza kugeuka maandamano, mgomo au shinikizo kubwa kwa uongozi...

Mara nyingi wale wanaoanza kupinga uongozi wakiwa na ushawishi hawaanzi tu kwa kubahatisha, huwa tayari wana dalili au taarifa kwamba wananchi wako upande wao kimya kimya...

Wananchi huongea kwa siri, kwenye mikutano isiyo rasmi, sokoni, au majumbani. Viongozi wenye macho na masikio huwa wanayakamata mapema...

Si dalili nzuri, usichukulie poa...
 
Si aongee direct sasa
 
Kama ana uchungu na Tz, ni nini kinamzuia kuongea hapo hapo??.....ni anataka kuogopewa ili kupata maslahi yake binafsi??

Nyie wa tz kina Mshana Jr ,,, mbona akili zenu ndogo sana,,, yaani mnategemea mtu ambaye anawapa Dola mda wa maamuzi, maamuzi yapi sasa wajinga nyie??,,, huoni kama anataka atimiziwe maslahi yake binafsi??

Ww Mshana Jr, tambua Tz imeoza kweli ila kuwategemea polepole na Gwajima ni uongo,,, TENA NI UFALA MKUBWA SANA NA HAMNA AKILI.

Mtu pekee wa kumwamini na kumpigania ni TUNDU LISSU ambaye kwa sasa yupo gerezani.....sawa nyie wajinga

Kuhusu inshu ya polepole na Gwajima nipo paleeee, ni hamna kitu hawa wote wamepangwa na CCM..... Mshana Jr mark this

Kwani kashaongea? Tusimulie amesema nini?
 
Back
Top Bottom