mahershalalhashbaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 388
- 77
Harakaharaka mpk amekonda jamani, kazi ya utumwa mbaya sn, duuuuh
Kuna video inayosambaa kwa kasi ikimuonesha Humphrey Polepole akipiga Push Ups huku akiwa na vazi la suti.
Hii ni kumuunga mkono JP MAGUFULI.
Kiafya zoezi la pushup lina faida za kiafya.
Nashauri kabla ya kampeni wana ccm lazima wapige Push ups 5 rounds na inapowezekana na wananchi wafanye hivyo.Taifa linaandaliwa kufanya kazi tu.
#hapakazitu

Kipimo cha rais bora ni kipi?
Weledi!!
So what after you have done those 'push-ups'
Kuna video inayosambaa kwa kasi ikimuonesha Humphrey Polepole akipiga Push Ups huku akiwa na vazi la suti.
Hii ni kumuunga mkono JP MAGUFULI.
Kiafya zoezi la pushup lina faida za kiafya.
Nashauri kabla ya kampeni wana ccm lazima wapige Push ups 5 rounds na inapowezekana na wananchi wafanye hivyo.Taifa linaandaliwa kufanya kazi tu.
#hapakazitu
Hii inasaidia sana kama una mchafuko wa tumbo Uharo hauwezi kuachiaNjaa ya tumbo ni mbaya sana kuliko ya akili
Jamani, si Lowassa nae apige pushups sasa? Kakatazwa? Au semeni basi yeye ana lipi la ajabu tulizungumzie?