Polepole aunga mkono zoezi la Push Up

Polepole aunga mkono zoezi la Push Up

Mimi sina njaa kama huyo Pole Pole.... Tokea 2012 hana kazi hapa mjini ili apate pesa ya kuweka ugali mezani lazima atumike na CCM... Lasivyo hapa ni mjini ataingizwa guest

Kama wewe jinsi fisadi Lowassa anavyokuweka mjini, bila kumtumikia Lowassa unalala njaa wewe,endelea kumtumikia fisadi.
 
Vijana wa Lowassa munamzuka lakini kwa bahati mbaya Lowassa atapoteza kama unabisha njoo kwetu huku Mwanza uone kama kuna mabishano ya Lowassa. Lowassa kweshine mungekuwa na hekima mungemshauri huyo Lowassa afanye mandalizi ya sijui niyaite ya kusitaafu au kupumzika kijijini kwake Monduli.

Hata wewe ukisoma ulichoandika unajishtukia hujaenda skuli. Kasome upate maarifa. ELIMU,ELIMU. ELIMU.
 
Tunaomba hiyo video na za wale wanaounga mkono kazi hii njema ya raisi mwadilifu mchapa kazi mchamungu MTU Wa watu mwenye kuipenda tz.
 
Tume ya kukusanya maoni ya wananchi ilikuwa na wajumbe wengi tu. Pole pole hakuwa hata katibu wa tume. Tumechoka kusikia habari za huyu Polepole lets hear from real intellectuals!!!!!!! Huyo analipa fadhila za mamilioni aliyojikusanyia kwenye tume for personal interest not for nation at large.

Huyu jamaa alianza vizur mno tatizo alipoingia huku raia hawamwelew
 
Pushap zinatusaidia nini wakati wananchi tunaongezewa mzigo katika maisha,lipia umeme uone makato,tena tunachangia vitu kwa lazima bila kushirikishwa vyombo wanaanzisha wao tuviendeshe sisi nimpaka lini
 
Kipimo cha rais bora ni kipi?

Kipimo cha raisi bora ni yule aliejipanga na kutengeneza sera kikamilifu si yule anaengojea kusindikizwa na magari bila ya yeye mwenyewe kujua namna ya kutekeleza ahadi
 
Jamani, si Lowassa nae apige pushups sasa? Kakatazwa? Au semeni basi yeye ana lipi la ajabu tulizungumzie?

Magufuli ndio mwenye tabia ya kuiga kama alivyoiga jambo la ubunifu la M4C. Ila sidhani kama El atakuwa na muda wa kuiga mambo ya kipuuzi kama pushup. Ni nadra sana chama cha vijana kuiga mambo ya chama kizee.
 
Magufuli ndio mwenye tabia ya kuiga kama alivyoiga jambo la ubunifu la M4C. Ila sidhani kama El atakuwa na muda wa kuiga mambo ya kipuuzi kama pushup. Ni nadra sana chama cha vijana kuiga mambo ya chama kizee.

Hivi kuna jambo la kipuuzi kama kuhudhuria mkutano wa kampeni, ukiwa ndie mzungumzaji mkuu wa kampeni hiyo ya kukuweka madarakani halafu..... au basi.
Mwambieni aingie kwa kukimbia basi kama hawezi kuiga pushups.
 
Magufuli zile sio pushapu pushapu gani unapiga kama unafanya mapenzi mimi pale nilikiona kiuno tu ndio kinacheza cheza sasa yule alikuwa anajiabisha kwa kukata viuno mbele ya wananchi.
 
Habari za hivi punde ni kwamba mgombea wa Urais kupitia ukawa Edward Lowassa atapiga Push Up mkutanoni tarehe 26/09/2015
 
WANAJARIBU KUPUNGUZA MAKALI YA PUSHUP YA MZEE WAKUKURUPUKA. Niliangalia futuhi ya jana 25.9.2015, wakukurupuka kaambiwa bei kali ndiyo sumu, yeye akafikiri ni sumu ya kuua watu. Hivyo hivyo magufuli alidhani peoples power ni power ya pushup! Ama kweli ni naye ni wakukurupuka tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom