Polepole atangaza moto wa 'mageuzi ya makusudi' CCM

Nashindwa kuelewa hapa, analia au ametabasamu?...
Sio mabadiliko pekee, ni mageuzi ya makusudi pia yanayotarajiwa kushuhudiwa kwa kiwango chake ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kufanyika mabadiliko ya uongozi. Hali hiyo imejidhihirisha kupitia kauli ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho tawala, Humphrey Polepole aliyoitoa hivi karibuni katika mahojiano na kituo cha Uhuru FM kinachomilikiwa na chama hicho. Alisema chama hicho kinafanya mageuzi ya makusudi, ajenda ambayo alidai ingawa ilikuwapo toka awali haikupata mtu wa kuisimamia kama alivyoonesha nia Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho, Dkt. Magufuli.

Sina uhakika kama unajitambua, je cheo cha polepole humo kwenye chama ni? Je ni katibu wa ustawi au wa Sera?
Ni bora uwe hivyo hivyo huna uhakika. Cheo chake unakijua kazi yake ni kusimamia chama bila kujali kinaongoza serikali moja mbili ama tatu.
 
Give Him time. You can find he is more than ten times better. Myself is highly impressed by this guy.
you can find he is more than times better=you can find he is ten times better than!
myself is highly impressed by this guy=i am highly impressed by this guy!
 
Sio mabadiliko pekee, ni mageuzi ya makusudi pia yanayotarajiwa kushuhudiwa kwa kiwango chake ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kufanyika mabadiliko ya uongozi. Hali hiyo imejidhihirisha kupitia kauli ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho tawala, Humphrey Polepole aliyoitoa hivi karibuni katika mahojiano na kituo cha Uhuru FM kinachomilikiwa na chama hicho. Alisema chama hicho kinafanya mageuzi ya makusudi, ajenda ambayo alidai ingawa ilikuwapo toka awali haikupata mtu wa kuisimamia kama alivyoonesha nia Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho, Dkt. Magufuli.

Alikua anasema kaka Angu Nape analopoka ye kaanza mapema hivi...
 
Sio mabadiliko pekee, ni mageuzi ya makusudi pia yanayotarajiwa kushuhudiwa kwa kiwango chake ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kufanyika mabadiliko ya uongozi. Hali hiyo imejidhihirisha kupitia kauli ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho tawala, Humphrey Polepole aliyoitoa hivi karibuni katika mahojiano na kituo cha Uhuru FM kinachomilikiwa na chama hicho. Alisema chama hicho kinafanya mageuzi ya makusudi, ajenda ambayo alidai ingawa ilikuwapo toka awali haikupata mtu wa kuisimamia kama alivyoonesha nia Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho, Dkt. Magufuli.

Asavali ccm inahitaji mabadiliko ya kutisha si
lizaboni
wakudadavua
Stroke
Blabla
mtashindwa kama mlivyo shindwaa mwaka jana lazima Magufuli ajiandae zaidi NA Huu ubabe wake ajiongeza kwa maana ameshatengeneza wapinzani ndani ya ccm NA nje.... Haswa ssm wezi WENZIE Maxence nilinde
2020 tusimchague magu
 
Pamoja na mapungufu ya hapa na pale ya Nape Mnauye, lakini bado viatu vyake vitampwaya sana Mr. Polepole!
HP radiates very faint power!
That's my observation! (I'm terribly sorry for whoever inconvenienced!)
NB: A good political analyst is not necessarily a great demagogue!
he is too bookish,schoolish,intellectual and soft!haiwezi mikikimikiki ya siasa!siasa zinataka za tz,na hasa kwa cheo chake,mtu aggressive,rough,talkative ndio ila awe rude!watu kama pole pole iliwafaa wawe a.c.t wazalendo au chadema!polepole angebakisha "uthubutu" wa nape,aongezee umakini wake halafu a-minus udomokaya wa nape!
 
WHEN A NAME PARALLELS ONE'S CHARACTER!
:D:D:D:D:D:D:D :D:D:D:D:D:D:D:D!
 
Back
Top Bottom