Polepole atangaza moto wa 'mageuzi ya makusudi' CCM

Unafiki wabinadamu huyu ni aibu.duu muumin wa serikali 3 ataongizaje Sera ya ccm na serikali mbili
Ni mpinga vyeo kama mkuu wa wilaya alipo pesa katulia tuli kama ana kodoa kodookodoo..chezea kula kuku za uongoz wew ukiambiwa kama unabisha ludi kawe mvuja jasho na uishi kwa ugali na tembelee nani anataka
 
Ni rahisi kumbadili mbuzi akawa ng'ombe kuliko kukibadili chama hicho. Polepole he is in for failure. Kama anataka kujiridhisha basi aanze na ile imani yake ya katiba ya Warioba. Ajaribu kuwabadili msimamo hao wakomunisti wenzake aone nn kitatokea...
 
Mabadiliko Hayaleti PolePole yeye anasimamia Maazimio ya Chama. Chama Ni Taasisi sio Mali Ya Mtu.
 
Kwenye hicho cheo cha masisiemu ataendelea kutembea na wazee (manjagu) au hizo mbwembwe zimeishia ubungo zikitokea musoma alikokuwa akikimbizana na wavuvi wa samaki
 
huu mwaka na uishe labda ujao itakua una story mpya nimechoka kusikia hizi km ingekua uziwi unakodiwa kwa mda ningekodi angalau mwezi tu
 
Back
Top Bottom