Polepole are you proud of what is happening in Kinondoni?

Jana nilikusikia kwenye tv ukisema ccm imezoea kushinda hivo kinondoni mmeshaanza kutayarisha tafrija.
swali, mkurugenzi alitoa kwa mawakala wa ccm wote hati za viapo mapema na akawakatalia wa vyama vingine hadi yametokea yaliyotokea hadi wengine kupotezamaisha je hapo kuna uchaguzi ni wa haki na huru?
swali la pili nikikukumbusha ukiwa unapigia debe katiba pendekezwa uliwahi kusema uchaguzi ukiwa huru na wa haki ccm haiwezi kushinda sasa hivi unasemaje?
huoni kama unapwaya sana jinsi ya kumshauri mkubwa hadi nchi yetu inachafuka kimataifa na je una nafasi gani ya kujiangalia mwenyewe hata baada ya utumishi wako ndani ya chama hasa kwa mchango wa kuipeleka mbele Tanzania iwe na jina zuri kinyume na sasa ambapo tunaelekea kwenye udikteta?
Hivi kweli kwa akili yako bado unaamini kwamba viongozi wetu wana dhamiri iliyo hai? maneno kama hayo uambiwa watu wanaotafakari na ambao hawajaua dhamiri zao.
 
Sijuwi katokea sayari gani huyu pole pole hebu mtazameni jamani sura take kwa kweli sio kiumbe Wa kawaida kabisa
 
Kwa mujibu wa itv live, huko magomeni kituo cha idrisa, kuna watu wameenda na gari wakachukua sanduku la kura wakaondoka nalo, baada ya dk 10 wakarejesha na gari
Na police hawajareact before or after? Basi mporaji na polisi lao moja!
 
Jana nilikusikia kwenye tv ukisema ccm imezoea kushinda hivo kinondoni mmeshaanza kutayarisha tafrija.
swali, mkurugenzi alitoa kwa mawakala wa ccm wote hati za viapo mapema na akawakatalia wa vyama vingine hadi yametokea yaliyotokea hadi wengine kupotezamaisha je hapo kuna uchaguzi ni wa haki na huru?
swali la pili nikikukumbusha ukiwa unapigia debe katiba pendekezwa uliwahi kusema uchaguzi ukiwa huru na wa haki ccm haiwezi kushinda sasa hivi unasemaje?
huoni kama unapwaya sana jinsi ya kumshauri mkubwa hadi nchi yetu inachafuka kimataifa na je una nafasi gani ya kujiangalia mwenyewe hata baada ya utumishi wako ndani ya chama hasa kwa mchango wa kuipeleka mbele Tanzania iwe na jina zuri kinyume na sasa ambapo tunaelekea kwenye udikteta?
pia alisema wameshatoa maelekezo kwa polisi kuhakikisha hakuna anayefurukuta. tumeona wametii maagizo yake wamemwaga damu isiyo na hatia
 
Back
Top Bottom