Polepole are you proud of what is happening in Kinondoni?

bababikko

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,694
4,352
Jana nilikusikia kwenye tv ukisema ccm imezoea kushinda hivo kinondoni mmeshaanza kutayarisha tafrija.
swali, mkurugenzi alitoa kwa mawakala wa ccm wote hati za viapo mapema na akawakatalia wa vyama vingine hadi yametokea yaliyotokea hadi wengine kupotezamaisha je hapo kuna uchaguzi ni wa haki na huru?
swali la pili nikikukumbusha ukiwa unapigia debe katiba pendekezwa uliwahi kusema uchaguzi ukiwa huru na wa haki ccm haiwezi kushinda sasa hivi unasemaje?
huoni kama unapwaya sana jinsi ya kumshauri mkubwa hadi nchi yetu inachafuka kimataifa na je una nafasi gani ya kujiangalia mwenyewe hata baada ya utumishi wako ndani ya chama hasa kwa mchango wa kuipeleka mbele Tanzania iwe na jina zuri kinyume na sasa ambapo tunaelekea kwenye udikteta?
 
Unamuuliza huyu polepole aliyekuwa mkuu wa wilaya akipinga ukuu wa wilaya?
 
Huyo failure wa zero form six atajulia wapi Siasa!?

Yeye mwenyewe alijipinga alipokubali uteuzi wa kuwa DC kisha mwenezi wa ccm baada ya kutuaminisha kuwa katiba ya Mzee Warioba ni bora ila leo kanatumikia tumbo, miguu na mikono.

Usitarajie kupata muujiza pasipokuwepo na Nabii.
 
Pole pole ni mfano unaoweza kuutumia kudhihirisha jinsi waafrika tulivyo wapu.mbavu na kwamba tunaweza kutawaliwa tena na wazungu na pasipo upinzani mkubwa,nikiamini watu kama pole pole ni wengi mnoo!
 
I wish ile CUF ya jino kwa jino irudi.

Hawa tunawachekea. We can react silently other movement.
We must revenge.
 
Inashinda lea kuua n.a. kuteka.Muda huu wamewafukuza Mawakala wote wa vyama vya Upinzani kwenye Vyumba cha kupigia kura wamebaki wasimamizi na Mawakala wa CCM halafu kuna watu wanasema CCM imeshinda
 
Jana nilikusikia kwenye tv ukisema ccm imezoea kushinda hivo kinondoni mmeshaanza kutayarisha tafrija.
swali, mkurugenzi alitoa kwa mawakala wa ccm wote hati za viapo mapema na akawakatalia wa vyama vingine hadi yametokea yaliyotokea hadi wengine kupotezamaisha je hapo kuna uchaguzi ni wa haki na huru?
swali la pili nikikukumbusha ukiwa unapigia debe katiba pendekezwa uliwahi kusema uchaguzi ukiwa huru na wa haki ccm haiwezi kushinda sasa hivi unasemaje?
huoni kama unapwaya sana jinsi ya kumshauri mkubwa hadi nchi yetu inachafuka kimataifa na je una nafasi gani ya kujiangalia mwenyewe hata baada ya utumishi wako ndani ya chama hasa kwa mchango wa kuipeleka mbele Tanzania iwe na jina zuri kinyume na sasa ambapo tunaelekea kwenye udikteta?
Awamu yenye watu Wasiojulikana ambao hawatakiwi Wajulikane
 
Kwa mujibu wa itv live, huko magomeni kituo cha idrisa, kuna watu wameenda na gari wakachukua sanduku la kura wakaondoka nalo, baada ya dk 10 wakarejesha na gari
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom