albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 2,108
- 3,584
Unauhakika gani kwamba kaamua kukaa njia sahihi ndipo wanamageuzi mnapofail hapo..... Ni kipi alichokiongea polepole ambacho ni kipya na hakijawahi kuongelewa???Kama mtu ameamua kukaa kwenye njia sahihi unataka umuue?
Tunahitaji wengine wengi kama Polepole kukaa upande sahihi na tutawapokea wananchi...