Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,875
- 50,706
- Thread starter
- #21
Kwamba Serikali inaweka ruzuku... Sawa, sisi tunashindwa nini kuweka ruzuku...Kuna kitu ananichanganya hapa -- kwanini hataji ni ruzuku?
Kwa mfano kwenye gesi bila ya kuweka faida ya muuzaji wa mwisho, bei halisi mpaka mtungi unafika kwa mtumiaji ni shilingi ngapi?
Kuna wakati bei ya mafuta nchi nyingine zinazotuzunguka yalikuwa chini kuliko hapa wakati mafuta hayo yanapitishwa kwenye nchi yetu.
Au nenda tunduma uone bei ya sukari toka nchi jirani ilivyo chini ukilinganisha na ya hapa kwetu.
Kuna mahali tunapigwa.