Polepole anakera, anaboa, anajivunjia heshima. Akae kimya sasa!

We Lamomy kinakuchekesha nini au unataka makwenzi 😃.

Halafu mdogo wangu naomba unitoe huku siasani sipapendi ila sijui nakuja🙏
 
Sis Pri unazingua 😹😹
Sema Polepole ilitakiwa ayamwage yote siku moja kisha atulie afanye mambo yake.
Hii ya press kila siku tunamzoea hata idadi ya wafatiliaji itapungua.

Ni sawa na mgonjwa wa jino kila siku unampa panadol wala haimtibu ila inampunguzia maumivu kwa muda..!!
Dawa kuling’oa kwa koleo 😹
 
Nimeshangaa kuona na wewe umekuwa Lucas wa kike..!! 😹😹😹

Siasa ukishaingia kutoka ngumu, mi kila nikijitahidi kuipotezea nashindwa..!!
Tuendelee tu hakuna namna siasa ndio maisha yetu..!!
 
Sizingui ukitulia utanielewa😎

Polepole nilichogundua ni kama kanogewa na attention ndo mana hana la mana analoongea ila ili aendelee kupata attention anakua anaahidi kurusha bomu kwenye next press.Next press anaahid tena bomu next press.Mi nishamchoka.
Hata the way anaongea tu hainivutii kama anavyovutia Gwajima.
 
Kwani ulivyo vitaja hapo kwenye TITLE yako ni lazima kua navyo?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nimeshangaa kuona na wewe umekuwa Lucas wa kike..!! 😹😹😹

Siasa ukishaingia kutoka ngumu, mi kila nikijitahidi kuipotezea nashindwa..!!
Tuendelee tu hakuna namna siasa ndio maisha yetu..!!
Wee!! Laana ya kuwa Lucas iniepuke mimi na wana wa wana wa wana wangu!!
Over my dead body!!
 
Swala sio kuitikisa CCM na ajenda ya polepole wala sio kuitikisa CCM swala hapa ni wahuni na wezi na wakwepa kodi walio jificha CCM huku wakiitafuna nchi na kuiba mali za nchi kwa mgongo wa CCM msijifanye hamumuelewi POLEPOLE nyie kenge maji
Matusi ya nini rafiki?
Hebu nikuulize maneno ya Polepole yamebadilisha kipi kati ya unavyotamani vibadilike?
TAFAKARI VYEMA
 
Tuwe tu wakweli.

Polepole anatafuta tu kick.

Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.

Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.

Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.

Yu wapi jasusi la mbinguni?

Mpina je?

Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!

Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!

CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawazoea kwa kuchongoa midomo ila usiku lazima mlale.

Wakuitikisa CCM bado hajazaliwa.Endeleeni na maneno yenu sisi vyetu ni vitendo.HARAMBEE MMEIONA HAMJAIONA?!

CCM Hoiyeeeeee😃
Me nilikuwa nasikia MAGUFULI kauliwa kauliwa nikawa napinga kumbe ni kweli sasa polepole akikaa kimya taarifa kama hizi tutazipata wapi mkunduni kwako
 
Akae Kimya ?!!!; Nadhani ile dhana ya kutaka watu wakae kimya / wanyamaze ni mbaya inatisha kulisho hata hatari ya hao ambao wanaongea (hata kama ni pumba)... Kwahio hata kama ni Wapotoshaji ni either kuwapuuza au kuwapiga rungu la Hoja na kama ni Slander kwenda kwa Pilato....

Una hoja ila tambua hao mnaowasema washazoea kusemwa.Eashazoea kuwa mnasema na mwishowe mnanyamaza na hakika maneno yenu hayazuii lolote walilopanga.

Ccm hoyeeee😃

NO REFORMS NO ELECTION
 
Tuwe tu wakweli.

Polepole anatafuta tu kick.

Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.

Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.

Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.

Yu wapi jasusi la mbinguni?

Mpina je?

Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!

Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!

CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawazoea kwa kuchongoa midomo ila usiku lazima mlale.

Wakuitikisa CCM bado hajazaliwa.Endeleeni na maneno yenu sisi vyetu ni vitendo.HARAMBEE MMEIONA HAMJAIONA?!

CCM Hoiyeeeeee😃

Poleni sana sana
 
Hilo halina mjadala, Hata Kiongozi mkubwa tu wa Nchi na hata Chama alishasema Kelele za Chura hazimzuii Ngo'ombe kunywa Maji....

Ila point kuu kabisa ukishaweka kamchezo au precedence ya kuziba watu midomo au kutaka wanyamaze kesho hata kusema lolote utazibwa pia mdomo..., Mfano JPM alizima Media waziwazi sasa hivi Ingawa hawasemi ila Media zimekuwa Propaganda Machines na kila wakiamua wanafunga Mitandao ya Kijamii... Ni muendelezo ule ule....

1755329280722.png
 
Tuwe tu wakweli.

Polepole anatafuta tu kick.

Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.

Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.

Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.

Yu wapi jasusi la mbinguni?

Mpina je?

Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!

Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!

CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawazoea kwa kuchongoa midomo ila usiku lazima mlale.

Wakuitikisa CCM bado hajazaliwa.Endeleeni na maneno yenu sisi vyetu ni vitendo.HARAMBEE MMEIONA HAMJAIONA?!

CCM Hoiyeeeeee😃
downloadfile-8.jpg
 
Back
Top Bottom