My dear sitetei CCM nimeongea ukweli tu kuwa Polepole hawezi kuzuia chochote kilichopangwa na ccm.Sitaki kuamini na utumishi wote ulionao unatetea CCM...nimenyong'onyea
Bado upo?Tatizo watu wanaichukulia poa CCM.
Umepewa au bado?My dear sitetei CCM nimeongea ukweli tu kuwa Polepole hawezi kuzuia chochote kilichopangwa na ccm.
Polepole kama analo lenye manufaa alibwage tujue moja na sio kutulambisha lambisha kwa maringo na ndio hapo anaponiboa na kunikera.Sina subra sipendi kusubirishwa subirishwa😃