Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,284
- 4,857
Nini kimekukera na kwanini ukereke ?
Fomu Samia kachukua,uchaguzi upo palepaleHalafu kinabadilika kipi?
Kwani hajagundua tu kuwa kelele za Chura hazimzui mchota maji kuchota maji!?Tuwe tu wakweli.
Polepole anatafuta tu kick.
Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.
Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.
Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.
Yu wapi jasusi la mbinguni?
Mpina je?
Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!
Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!
CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawazoea kwa kuchongoa midomo ila usiku lazima mlale.
Wakuitikisa CCM bado hajazaliwa.Endeleeni na maneno yenu sisi vyetu ni vitendo.HARAMBEE MMEIONA HAMJAIONA?!
CCM Hoiyeeeeee😃
Hakiwezi kukosekana prida, kujua usichofahamu hata kama hakina maana si sawa na kuto kujua.kinabadilika?
Hakuna asiyetaka mafanikio ya haraka ila Polepole hana mvuto.Wewe ni kati ya wale wanataka mafanikio ya haraka haraka, nakushauri tuifanyie assessment press za Polepole baada ya oktoba, hapo tutajua mbivu na mbichi.
Swala sio kuitikisa CCM na ajenda ya polepole wala sio kuitikisa CCM swala hapa ni wahuni na wezi na wakwepa kodi walio jificha CCM huku wakiitafuna nchi na kuiba mali za nchi kwa mgongo wa CCM msijifanye hamumuelewi POLEPOLE nyie kenge majiPolepole hawezi kuitikisa CCM!
Kama Mrema na Lowassa walishindwa, Polepole atawezaje?