Polepole anakera, anaboa, anajivunjia heshima. Akae kimya sasa!

Tuwe tu wakweli.

Polepole anatafuta tu kick.

Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.

Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.

Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.

Yu wapi jasusi la mbinguni?

Mpina je?

Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!

Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!

CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawazoea kwa kuchongoa midomo ila usiku lazima mlale.

Wakuitikisa CCM bado hajazaliwa.Endeleeni na maneno yenu sisi vyetu ni vitendo.HARAMBEE MMEIONA HAMJAIONA?!

CCM Hoiyeeeeee😃
Polepole sasa hivi kazi yake ni moja tu ni kuichafua CCM
 
Wakati babu zako wanavutwa na minyororo madini kuchukuliwa na wakoloni Mungu alichukua hatua gani??

Kule gaza Mungu kachukua hatua gani?
Mungu alishawapa akili mnapopatwa na majanga mtumie akili zenu kuyatatua
Kama mnaona mnateseka chukueni hatua acheni kusingizia eti Mungu atachukua hatua.
Wanajidanganya!,

Hakuna Mungu wakuitoa CCM madarakani.
 
Tatizo watu wanaichukulia poa CCM.
Mbona hata yeye amesema kuwa ameamua kusema ukweli regardless? Watanzania mna shida sana. Kwani kusema ukweli ni dhambi? Mmezoea unafki mpaka mnadhani kuwa mtu hawezi kuwa mkweli japo hapati reward yoyote.
 
Mama mchungaji wee deal na uokovu haya ya siasa yatakumix na dunia.
Nimerudi tena kusoma huu ushauri then nikajiambia nikiupuuza kuna siku dunia itanimixx by yass.
Ngoja nilog out kidogo.😃
 
Mbona hata yeye amesema kuwa ameamua kusema ukweli regardless? Watanzania mna shida sana. Kwani kusema ukweli ni dhambi? Mmezoea unafki mpaka mnadhani kuwa mtu hawezi kuwa mkweli japo hapati reward yoyote.
 
Tuwe tu wakweli.

Polepole anatafuta tu kick.

Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.

Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.

Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.

Yu wapi jasusi la mbinguni?

Mpina je?

Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!

Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!

CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawazoea kwa kuchongoa midomo ila usiku lazima mlale.

Wakuitikisa CCM bado hajazaliwa.Endeleeni na maneno yenu sisi vyetu ni vitendo.HARAMBEE MMEIONA HAMJAIONA?!

CCM Hoiyeeeeee😃
Kwakuwa nyie ni ccm bubu na viziwi acheni awakere huenda mkapona ububu na ukiziwi kwa maslahi ya taifa.
 
Tuwe tu wakweli.

Polepole anatafuta tu kick.

Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.

Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.

Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.

Yu wapi jasusi la mbinguni?

Mpina je?

Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!

Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!

CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawazoea kwa kuchongoa midomo ila usiku lazima mlale.

Wakuitikisa CCM bado hajazaliwa.Endeleeni na maneno yenu sisi vyetu ni vitendo.HARAMBEE MMEIONA HAMJAIONA?!

CCM Hoiyeeeeee😃
hizi Mada xakee ndio mnampa kichwa apotezewee
 
Ni kweli atanyamaza, ila atakuwa ameweka ukweli hadharani.
 
Unafurahia watu wachache kujimilikisha nchi na kuipuuza katiba? Ni kweli anaweza asiwe lolote ila wananchi wananufaika kwa kuondolewa usingizini kwa baadhi ya vitu
 
Mimi naomba aendelee kubungua tu humo ndani mpaka mijusi iliyojifanya Samaki humo ziwani, iondoke tubaki na Samaki tu ili tuendelee kula Samaki. kwa sasa tunalishwa mijusi tukiambiwa ni Samaki na Kwa ukenge tulionao tunakula mpaka mifupa na miiba.
 
Tuwe tu wakweli.

Polepole anatafuta tu kick.

Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.

Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.

Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.

Yu wapi jasusi la mbinguni?

Mpina je?

Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!

Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!

CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawazoea kwa kuchongoa midomo ila usiku lazima mlale.

Wakuitikisa CCM bado hajazaliwa.Endeleeni na maneno yenu sisi vyetu ni vitendo.HARAMBEE MMEIONA HAMJAIONA?!

CCM Hoiyeeeeee😃
Kakukeraaaa ?
Sidhani kuna mtu anajidanganya na maneno ya Polepole zaidi yako...
 
Back
Top Bottom