Polepole anakera, anaboa, anajivunjia heshima. Akae kimya sasa!

Anacho ongea pole pole ni kwa maslahi ya Nchi, hamsingizii mtu uongo, Yote anayo ongea mengi kati yake tuliyahisi ila yeye kaya thibitisha.
Mengine watu walikua wakiyafahamu ila waliogopa kuongea.
Ndugu pole pole unafanya kazi mzuri, Watanzania wame ufahamu ukweli, inawezekana wakashindwa kuchukua hauta ila ukweli wame ufahamu.

Vilio vitakapo zidi katika Nchi, Mungu mwenyewe atachukua hatua na hakuna Mwanadamu atakaye zuia.
Kadri uovu unavyozidi katika Nchi ujue na maangamizi yana karibia.
Wakati babu zako wanavutwa na minyororo madini kuchukuliwa na wakoloni Mungu alichukua hatua gani??

Kule gaza Mungu kachukua hatua gani?
Mungu alishawapa akili mnapopatwa na majanga mtumie akili zenu kuyatatua
Kama mnaona mnateseka chukueni hatua acheni kusingizia eti Mungu atachukua hatua.
 
Tuwe tu wakweli.

Polepole anatafuta tu kick.

Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.

Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.

Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.

Yu wapi jasusi la mbinguni?

Mpina je?

Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!

Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!

CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawazoea kwa kuchongoa midomo ila usiku lazima mlale.

Wakuitikisa CCM bado hajazaliwa.Endeleeni na maneno yenu sisi vyetu ni vitendo.HARAMBEE MMEIONA HAMJAIONA?!

CCM Hoiyeeeeee😃
Bladfck
 
Mama mchungaji wee deal na uokovu haya ya siasa yatakumix na dunia.
Sawa tena sipendi siasa coz zinanipa tu stress ila nimeona nifanye sehemu yangu kuwachachua watanzania.
 
Pole pole ni nzi mharibu michongo 😀😀😀
 
Wakati babu zako wanavutwa na minyororo madini kuchukuliwa na wakoloni Mungu alichukua hatua gani??

Kule gaza Mungu kachukua hatua gani?
Mungu alishawapa akili mnapopatwa na majanga mtumie akili zenu kuyatatua
Kama mnaona mnateseka chukueni hatua acheni kusingizia eti Mungu atachukua hatua.
wewe nawe tuondolee hasira zako hapa.kama unampuuza Mungu ni wewe halafu Allah hapangawi
 
Hata mimi nina mashaka na Polepole. Hatahivyo nadhani ni mapema sana kujua impact yake. Muda utaongea.
 
Clip ya nne amesema anakuja kuwashika kunako atakabia juu.
 
Mbona povu jingi kuliko hata polepole mwenyewe...yeye amerelax ana enjoy mambo yake anazungumza na amani yote...sasa povu la Nini jamani😃
 
Anayoyafanya pole pole kiko planned kutokea Lumumba ndo maana hamna kipya alichokisema
 
Tuwe tu wakweli.

Polepole anatafuta tu kick.

Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.

Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.

Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.

Yu wapi jasusi la mbinguni?

Mpina je?

Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!

Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!

CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawazoea kwa kuchongoa midomo ila usiku lazima mlale.

Wakuitikisa CCM bado hajazaliwa.Endeleeni na maneno yenu sisi vyetu ni vitendo.HARAMBEE MMEIONA HAMJAIONA?!

CCM Hoiyeeeeee😃

Aongeze dozi mashimoni tayari hakukaliki.
 
Nchi ndio ishajifia, watu tunaowategemea watuwakilishe nao wametugeuka.

Wananchi na sisi ndio basi tena kila mtu anaugulia kivyake, tunabaki kujipa moyo tu kwamba ipo siku😁

Me ninachokiona kwasasa ni kwamba kila mtu apambane na kula yake na ikitokea watu wachache wameamua kumwaga mboga na ugali kwa dhati kabisa basi tutawaunga mkono.

Na ikitokea mabadiliko ndani ya Taifa hili baada ya kizazi changu kutoweka, basi ni kheri pia.

Mungu tubariki wapambanaji wote nchi hii.
 
Tuwe tu wakweli.

Polepole anatafuta tu kick.

Mnaotegemea CCM itatikisika kwa porojo za Polepole mnajidanganya.

Kwa CCM ,Polepole ni debe tupu,litapiga kelele ila usiku wake utafika litalala.

Ataibuka mwingine,mtampaparikia ila mwisho nae atanyamaza.

Yu wapi jasusi la mbinguni?

Mpina je?

Yu wapi @,britanica na tabiri zake za kitapeli.Mara July zis July zat?
Hamna lolote la maana zaidi MANENO MATUPU!!

Msipoteze muda na bando zenu kwa Polepole.Muda sio mrefu nae atachoka atanyamaza.Polepole hana tofauti na Lucas Mwashambwa.Wabwabwajaji!

CCM hatutishwi na maneno yenu kwani tushawazoea kwa kuchongoa midomo ila usiku lazima mlale.

Wakuitikisa CCM bado hajazaliwa.Endeleeni na maneno yenu sisi vyetu ni vitendo.HARAMBEE MMEIONA HAMJAIONA?!

CCM Hoiyeeeeee😃
Huwezi kumuita polepole kwamba kwa ccm ni debe tupu, uyu Bwana unaweza kuona namna ambavyo amekua karibu sana marais tofauti tofauti, ila pia unaona alivyokaribu na wazee muhimu kwenye chama, so sio debe tu ,jibuni hoja yake, uyu Bwana ana kitu, na kwa viongozi wa kitaifa unaona ambavyo ukaribu wake nao unaweza kumzidi SSH kabla yakua Rais ,so asichukuliwe poa
 
Back
Top Bottom