Polepole anahitaji msaada wa matibabu kuliko kumshangaa

kuna mambo, aliyakalia kimya.sana enzi za mwendazake lakini haimzuii kuungama na kujutia kwa kusema uwazi kama njia yake ya kushusha matokeo ya dhambi zake.
 
POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA

Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli

Kwanini Polepole hakumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanya kazi zao za kikatiba?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awatafute wahuni waliokua wanabambikia watu kesi na kupora mali zao,wahuni waliokua wanateka,anatesa na kuuwa watu?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awashughulikie wahuni walipora fedha kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kupelekea wastaafu kukosa fedha zai kwa wakati?

Leo polepole anajikasimisha majukumu mazito ya kujifanya kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumi hilo amepewa na nani,kiufupi yani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na Tanzania kuliko watanzania wenyewe walioamua kumuunga mkono Dkt Samia?

Polepole huyu huyu alikaa kimya alipowasikia wahuni waliojitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ya Nchi ili kuongeza mda wa ukomo wa Urais Madarakani.Hii inaonyesha wazi walikaa kimya ili kutaka kupima upepo wa Nje ili mda wao waliopanga ukifika watekeleze adhima yao ya kuendelea kubaki madarakani mpaka mda waliokua wamepanga.

Polepole ni mtu wa kupuuzwa hapaswi kusikilizwa hata kidogo na tunajua hawezi kuwa peke yake ni lazima kuna kundi liko nyuma linalompa nguvu na kumficha,Lakini tunasema wakati wa Mungu utafika mda sio mrefu na hukumu ya Mungu itafanya kazi yake.
Kwanza alikuwa mtu mdg sana kumshauri mtu km Rais wa nchi na mwenyekiti wa CCM, Polepole alikuwa mpiga debe tu wa chama, hakuwa na access yyte na taarifa yyte nyeti, anacheza na akili za wapumbavu, kimsingi yeye mwenyewe anawadharau wanakubali utapeli wake. Mtu mwerevu akikuambia jambo la kipumbavu ukakikubali anakudharau. Mpk tulipo amedharau watu wengi sana kwani anajua fika anatengeneza uwongo wa kujitungia akiwa chumbani na bado kuna watu wanamwunga mkono. Amewadharau. Yule mbwa hana taarifa yyte ya serikali ndio maana CCM haimjibu imempuuza. Ni lini na wapi ametoa ushahidi wa tuhumua yyte kati ya anazorusha mitandaoni? Aambatanishe na vielelezo vyenye mihuri na signatures. Huyo anatengeneza maudhui ili apige hela km Mange Kimambi. Watanzani sijui wana shida gani, kila mara wanapigwa na wajanja km DECI, Hawa manabii wa uwongo n.k.
 
Anatapatapa masikini Ameshapoteza uwelekeo, uchaguzi upo pale pale
 
Attachments

  • 2025-09-02-195148807.mp4
    4.8 MB
Mod usitutafutie ban mbaya kipindi cha uchaguzi... Kwa hiI mada za kisheee...nz mnazoeuhusu

Tumefurugwa madini na mali zetu zinateketekea
 
POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA

Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli

Kwanini Polepole hakumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanya kazi zao za kikatiba?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awatafute wahuni waliokua wanabambikia watu kesi na kupora mali zao,wahuni waliokua wanateka,anatesa na kuuwa watu?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awashughulikie wahuni walipora fedha kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kupelekea wastaafu kukosa fedha zai kwa wakati?

Leo polepole anajikasimisha majukumu mazito ya kujifanya kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumi hilo amepewa na nani,kiufupi yani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na Tanzania kuliko watanzania wenyewe walioamua kumuunga mkono Dkt Samia?

Polepole huyu huyu alikaa kimya alipowasikia wahuni waliojitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ya Nchi ili kuongeza mda wa ukomo wa Urais Madarakani.Hii inaonyesha wazi walikaa kimya ili kutaka kupima upepo wa Nje ili mda wao waliopanga ukifika watekeleze adhima yao ya kuendelea kubaki madarakani mpaka mda waliokua wamepanga.

Polepole ni mtu wa kupuuzwa hapaswi kusikilizwa hata kidogo na tunajua hawezi kuwa peke yake ni lazima kuna kundi liko nyuma linalompa nguvu na kumficha,Lakini tunasema wakati wa Mungu utafika mda sio mrefu na hukumu ya Mungu itafanya kazi yake.
Hana jipya lakini 24/7 mnamjadili na mnalipwa kwa kazi hiyo.
 
Wote mtakumbuka kuwa huyu bwana mdogo si mzalendo hata kidogo na hata elimu yake i ya kuunga unga yenye gpa ya 2.3. Huwaga anatumia uchawi tu kama ilivyo kwa makonda ili ku excell.

polepole ni mmoja wa wale ambao walitaka kushiikiza mama asiapishe kinyume kabisa na katiba ya nchi. Thnaks to Mbeyo ulisimama kidete. Leo hii tunakula matuda ya mama kiasi ambacho asingeapishwa matunda haya yote yangeyeyuka tukabaki na sifa tu kama zile za kishindo cha jpm kupitia tbc na kupigwa fix nyingi eti tumeingia uchumi wa kati.

Awamu ya tano iliongozwa kwa mikwala na uongo mwingi. Tuliambiwa eti kuna mtu alikuwa aniibiwa TRA mil 7 kwa sekunde. ki ukweli ule ulikuwa uongo mana mpka leo hajulikani ni nani. Ni sawa na akina mwamposa wanakwambia bubu ameongea tena wakti ukweli ni kwamba hayupo popote katika jamii.
 
Endelea kukaza fuvu hali ya kuwa chama kinazidi kupasuka...

Polepole ameondoka na kundi kubwa ambalo wanamuunga mkono, na hao mpo nao kwenye vikao ila ikifika muda watajidhirisha rangi zao halisi...

Mambo yenu malizaneni wenyewe mtajuana sisi hayatuhusu, uzuri Polepole kaomba msamaha Watanzania.. Mungu atamsamehe..
 
Rostam mwenyewe kaweka mpira kwapani, iweje wewe buku 5!
FB_IMG_1756799440042.jpg
 
Wa kutia huruma, muda si mrefu tutakuwa tunagombania nae bodaboda
 
Wote mtakumbuka kuwa huyu bwana mdogo si mzalendo hata kidogo na hata elimu yake i ya kuunga unga yenye gpa ya 2.3. Huwaga anatumia uchawi tu kama ilivyo kwa makonda ili ku excell.

polepole ni mmoja wa wale ambao walitaka kushiikiza mama asiapishe kinyume kabisa na katiba ya nchi. Thnaks to Mbeyo ulisimama kidete. Leo hii tunakula matuda ya mama kiasi ambacho asingeapishwa matunda haya yote yangeyeyuka tukabaki na sifa tu kama zile za kishindo cha jpm kupitia tbc na kupigwa fix nyingi eti tumeingia uchumi wa kati.

Awamu ya tano iliongozwa kwa mikwala na uongo mwingi. Tuliambiwa eti kuna mtu alikuwa aniibiwa TRA mil 7 kwa sekunde. ki ukweli ule ulikuwa uongo mana mpka leo hajulikani ni nani. Ni sawa na akina mwamposa wanakwambia bubu ameongea tena wakti ukweli ni kwamba hayupo popote katika jamii.
La msingi ni kile anachosema je kina ukweli au la! Haijalishi anakisema kwa wivu au aje, lakini je kina ukweli au la!
 
Wote mtakumbuka kuwa huyu bwana mdogo si mzalendo hata kidogo na hata elimu yake i ya kuunga unga yenye gpa ya 2.3. Huwaga anatumia uchawi tu kama ilivyo kwa makonda ili ku excell.

polepole ni mmoja wa wale ambao walitaka kushiikiza mama asiapishe kinyume kabisa na katiba ya nchi. Thnaks to Mbeyo ulisimama kidete. Leo hii tunakula matuda ya mama kiasi ambacho asingeapishwa matunda haya yote yangeyeyuka tukabaki na sifa tu kama zile za kishindo cha jpm kupitia tbc na kupigwa fix nyingi eti tumeingia uchumi wa kati.

Awamu ya tano iliongozwa kwa mikwala na uongo mwingi. Tuliambiwa eti kuna mtu alikuwa aniibiwa TRA mil 7 kwa sekunde. ki ukweli ule ulikuwa uongo mana mpka leo hajulikani ni nani. Ni sawa na akina mwamposa wanakwambia bubu ameongea tena wakti ukweli ni kwamba hayupo popote katika jamii.
Leo hii tunakula matunda ya mama (i e. Ufisadi ndio unamanisha)
 
Wana mtandao kazi mnayo
 
Ugumu wa ccm na viongozi wake kumjibu polepole unakuja pale ambapo huyo polepole ni msafi kweli na hana doa ktk kazi mlizompa na ninmzalendo wa kumaanisha..

Yaani naweza kuifananisha scenario ya polepole na ccm kama yesu na mafalisayo walienda kumbananisha yesu awaambie mamlaka ya kuhubiri injili aliipata wapi ghafla yesu akawaambia na wao wamwambie mahlaka ya yohana kubatiza yalitoka wapi?
halooo waliulizana maswali wakaufyata kimya..

Huyu polepole anachoeleza kuhusu udhaifu wa serikali kwenye rushwa na namna ccm inashindwa kuisimamia serikali kwa sasa ni mambo ya dhahiri na wananchi wanayaona ni ngumu sana kuwaaminisha tofauti watu wanaona kila kitu.
Nyie viongozi Ogopeni sana mnapowadanganya wananchi alafu wanajua mnawadanganya ila wanakaa kimya wanawaangalia tu.
Ni kama volkano inachemka siku ikilipuka hakuna sehemu ya kukanyaga kila mahali kutakuwa pamoto tu.
 
Back
Top Bottom