Polepole anahitaji msaada wa matibabu kuliko kumshangaa

Kwa hili linatosha kuilaumu serikali ya Tanzania kwa kushindwa kushirikiana na mamlaka za Cuba ili kujua alipo mtanzania huyu ili apatiwe matibabu kwa mujibu wa taratibu za utumishi wa umma. Kwa mtu yeyote makini lazima akubali kuwa ndugu H Polepole ana changamoto kubwa ya tatizo la afya ya akili. Serikali chukueni hatua haraka ili kumsaidia huyu ndugu
Matako yako
 
POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA

Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli

Kwanini Polepole hakumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanya kazi zao za kikatiba?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awatafute wahuni waliokua wanabambikia watu kesi na kupora mali zao,wahuni waliokua wanateka,anatesa na kuuwa watu?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awashughulikie wahuni walipora fedha kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kupelekea wastaafu kukosa fedha zai kwa wakati?

Leo polepole anajikasimisha majukumu mazito ya kujifanya kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumi hilo amepewa na nani,kiufupi yani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na Tanzania kuliko watanzania wenyewe walioamua kumuunga mkono Dkt Samia?

Polepole huyu huyu alikaa kimya alipowasikia wahuni waliojitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ya Nchi ili kuongeza mda wa ukomo wa Urais Madarakani.Hii inaonyesha wazi walikaa kimya ili kutaka kupima upepo wa Nje ili mda wao waliopanga ukifika watekeleze adhima yao ya kuendelea kubaki madarakani mpaka mda waliokua wamepanga.

Polepole ni mtu wa kupuuzwa hapaswi kusikilizwa hata kidogo na tunajua hawezi kuwa peke yake ni lazima kuna kundi liko nyuma linalompa nguvu na kumficha,Lakini tunasema wakati wa Mungu utafika mda sio mrefu na hukumu ya Mungu itafanya kazi yake.
PILIPILI USIYO ILA YAKUWASHIA NINI??? /PILI PILI YA SHAMBA YAKUWASHIA NINI???
😳

NAONA UGOLO UMEINGIA PUANI 🌝🌝 TAZAMA MNAVYO PIGA CHAFYA.
 
naona mmetumwa kundi, sasa wwe ni wa tatu........ mnajidanganya...Polepole anasema hivi: 1+1 =2 , hiki ndicho anachokisema Polepole ambacho ni ukweli mtupu katika hesabu za kawaida.
Nchi ambayo inamatumizi rahisi zaidi ya gas duniani ni Algeria na wao huwa wananunua kilo moja kwa 0.75 US $, zingatia mtungi mdogo kabisa huanzia kilo 3, mitungi yetu watanzania mingi huwa ya kilo 6.
 
POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA

Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli

Kwanini Polepole hakumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanya kazi zao za kikatiba?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awatafute wahuni waliokua wanabambikia watu kesi na kupora mali zao,wahuni waliokua wanateka,anatesa na kuuwa watu?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awashughulikie wahuni walipora fedha kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kupelekea wastaafu kukosa fedha zai kwa wakati?

Leo polepole anajikasimisha majukumu mazito ya kujifanya kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumi hilo amepewa na nani,kiufupi yani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na Tanzania kuliko watanzania wenyewe walioamua kumuunga mkono Dkt Samia?

Polepole huyu huyu alikaa kimya alipowasikia wahuni waliojitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ya Nchi ili kuongeza mda wa ukomo wa Urais Madarakani.Hii inaonyesha wazi walikaa kimya ili kutaka kupima upepo wa Nje ili mda wao waliopanga ukifika watekeleze adhima yao ya kuendelea kubaki madarakani mpaka mda waliokua wamepanga.

Polepole ni mtu wa kupuuzwa hapaswi kusikilizwa hata kidogo na tunajua hawezi kuwa peke yake ni lazima kuna kundi liko nyuma linalompa nguvu na kumficha,Lakini tunasema wakati wa Mungu utafika mda sio mrefu na hukumu ya Mungu itafanya kazi yake.
Vip kuhusu hawa
 
Badala ya kujibu hoja zilizotolewa, wewe unatueleza Polepole ni mtu wa namna gani. Sisi hatuhitaji hayo. Tunataka majibu ya hoja zilizotolewa!
 
Haya yote uliyosema
Yalifanyika wakati makamu wa Rais akiwa ni nani?

Na waziri wa fedha alikuwa ni nani?
 
Nchi ambayo inamatumizi rahisi zaidi ya gas duniani ni Algeria na wao huwa wananunua kilo moja kwa 0.75 US $, zingatia mtungi mdogo kabisa huanzia kilo 3, mitungi yetu watanzania mingi huwa ya kilo 6.
Hii wewe umeipata wapi hiyo bei ya mtungi wa gesi Algeria?

Hebu twende taratibu... Kilo Moja ya nyama Tanzania ni shilingi ngapi na kilo hiyo hiyo ya nyama Marekani ni shilingi ngapi?

Kuna Binti nafahamiana naye, alikwenda kusuka akakuta bei ya kusuka Marekani ni kama laki Saba za kitanzania.

Sasa mmarekani akiambiwa bei ya nyama au kusuka Tanzania si atashangaa?

Lakini bei ya bidhaa huamuliwa na mambo mengi sana (factors) mbali ya bidhaa yenyewe. Mfano rahisi ni soda. Kwenye duka soda ni shilingi 800/= kwenye baa 1,000/= lakini kwenye hoteli kubwa za nyota tano, soda zinaanza kuuzwa kwa bei ya shilingi 2,000/= na kuendelea.

Kwa ivo bei ya bidhaa inategemea mambo mengi ruzuku ikiwemo.
 
POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA

Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli

Kwanini Polepole hakumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanya kazi zao za kikatiba?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awatafute wahuni waliokua wanabambikia watu kesi na kupora mali zao,wahuni waliokua wanateka,anatesa na kuuwa watu?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awashughulikie wahuni walipora fedha kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kupelekea wastaafu kukosa fedha zai kwa wakati?

Leo polepole anajikasimisha majukumu mazito ya kujifanya kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumi hilo amepewa na nani,kiufupi yani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na Tanzania kuliko watanzania wenyewe walioamua kumuunga mkono Dkt Samia?

Polepole huyu huyu alikaa kimya alipowasikia wahuni waliojitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ya Nchi ili kuongeza mda wa ukomo wa Urais Madarakani.Hii inaonyesha wazi walikaa kimya ili kutaka kupima upepo wa Nje ili mda wao waliopanga ukifika watekeleze adhima yao ya kuendelea kubaki madarakani mpaka mda waliokua wamepanga.

Polepole ni mtu wa kupuuzwa hapaswi kusikilizwa hata kidogo na tunajua hawezi kuwa peke yake ni lazima kuna kundi liko nyuma linalompa nguvu na kumficha,Lakini tunasema wakati wa Mungu utafika mda sio mrefu na hukumu ya Mungu itafanya kazi yake.
Wewe ni Malaya wa kisiasa .Wewe ni Chawa ,Wewe ni mhuni
Wewe ni miongoni mwa watu wanapaswa kuoigwa risasi Kwa sababu ya ufisadi na kukosa uzalendo

OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
 
Mpo wengi mmejiunga August kwa ID's mpya kumshambulia Polepole, hakuna hata mmoja anayejibu hoja zake zaidi ya kutetea matumbo yenu. Mmejaribu kumzima mmeshindwa, naona hata mitandao hamfungii tena, mmejiona wajinga. Mmeishia kuanzisha threads mpya kila dakika 10, kumshambulia Polepole.
Hoja gani Unataka nikujibu
 
POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA

Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli

Kwanini Polepole hakumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanya kazi zao za kikatiba?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awatafute wahuni waliokua wanabambikia watu kesi na kupora mali zao,wahuni waliokua wanateka,anatesa na kuuwa watu?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awashughulikie wahuni walipora fedha kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kupelekea wastaafu kukosa fedha zai kwa wakati?

Leo polepole anajikasimisha majukumu mazito ya kujifanya kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumi hilo amepewa na nani,kiufupi yani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na Tanzania kuliko watanzania wenyewe walioamua kumuunga mkono Dkt Samia?

Polepole huyu huyu alikaa kimya alipowasikia wahuni waliojitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ya Nchi ili kuongeza mda wa ukomo wa Urais Madarakani.Hii inaonyesha wazi walikaa kimya ili kutaka kupima upepo wa Nje ili mda wao waliopanga ukifika watekeleze adhima yao ya kuendelea kubaki madarakani mpaka mda waliokua wamepanga.

Polepole ni mtu wa kupuuzwa hapaswi kusikilizwa hata kidogo na tunajua hawezi kuwa peke yake ni lazima kuna kundi liko nyuma linalompa nguvu na kumficha,Lakini tunasema wakati wa Mungu utafika mda sio mrefu na hukumu ya Mungu itafanya kazi yake.
Polepole alishaomba msamaha kwa knywa chake
2.Jpm alizungukwa na maadui kibao so hakujua who is who .akaamua kupita na wapinzani wote .tumsamehe
 
Katika tembea tembea zangu... Sijawahi kumuona, kumsikia wala kukutana na kichaa muongo muongo!
 
Nimepitia hii nyuzi karibu yote hii tasmini ya uzi huu.
1. Wanao muunga mkono mtoa mada ni 09%
2. Ambao majibu yao haya eleweki 01%
3. Wasio muunga mkono mtoa mada 90%

Naufunga rasmi huu uzi.
Asanteni sana washiriki. Tukutane wakati mwingine
 
POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA

Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli

Kwanini Polepole hakumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanya kazi zao za kikatiba?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awatafute wahuni waliokua wanabambikia watu kesi na kupora mali zao,wahuni waliokua wanateka,anatesa na kuuwa watu?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awashughulikie wahuni walipora fedha kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kupelekea wastaafu kukosa fedha zai kwa wakati?

Leo polepole anajikasimisha majukumu mazito ya kujifanya kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumi hilo amepewa na nani,kiufupi yani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na Tanzania kuliko watanzania wenyewe walioamua kumuunga mkono Dkt Samia?

Polepole huyu huyu alikaa kimya alipowasikia wahuni waliojitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ya Nchi ili kuongeza mda wa ukomo wa Urais Madarakani.Hii inaonyesha wazi walikaa kimya ili kutaka kupima upepo wa Nje ili mda wao waliopanga ukifika watekeleze adhima yao ya kuendelea kubaki madarakani mpaka mda waliokua wamepanga.

Polepole ni mtu wa kupuuzwa hapaswi kusikilizwa hata kidogo na tunajua hawezi kuwa peke yake ni lazima kuna kundi liko nyuma linalompa nguvu na kumficha,Lakini tunasema wakati wa Mungu utafika mda sio mrefu na hukumu ya Mungu itafanya kazi yake.
Mmebakisha muda mchache sana mtage mafii..!!
 
Sahihisho.... Waliompuuza ni machawa na walamba nyayo za viongoz ili wapate riziki zao za kila cku na hako ni kakikundi kadogo san, watanzania wengi wameondoa tofaut zao na wanamsapoti Mr slow slow aka mzee wa flyover!!!
Ht machawa wenyew wanajifanya tu lkn wanamfatilia😁😁
 
Wewe ndiye unahitaji matibabu ya haraka kwa kutoona substance anazoziongea Polepole. Ziko wazi hata kwa mtoto wa sekondari.
Mmetumwa kumkabiri Polepole kwa flimsy arguments kama hizi, basi mpelekwe Mirembe Dodoma
Hana maadili ya kuikosoa serikali ya awamu ya sita wakati ni sehemu ya unyama wote wa awamu ya tano.

Anapigania maslahi yake kwa kujenga hoja za kichonganishi kwamba JK alimuua JPM bila ya kuweka ushahidi wenye kujitosheleza kuthibitisha tuhuma anazozitoa.

Anazungusha maneno anaogopa kuongea kwa namna ambayo atakutana na kesi ya Lissu ya uhaini. Anajitahidi kuficha kile kiburi cha kisomi na uwazi wa Lissu wa kusema analotaka akiogopa kukutana na madhara ya maongezi yake siku zijazo.

Ni mnafiki tu anayeishi na chuki za jamaa wa Sukuma Gang waliodhani mpaka tarehe ya leo JPM angekuwa rais ikulu.
 
POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA

Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli

Kwanini Polepole hakumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanya kazi zao za kikatiba?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awatafute wahuni waliokua wanabambikia watu kesi na kupora mali zao,wahuni waliokua wanateka,anatesa na kuuwa watu?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awashughulikie wahuni walipora fedha kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kupelekea wastaafu kukosa fedha zai kwa wakati?

Leo polepole anajikasimisha majukumu mazito ya kujifanya kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumi hilo amepewa na nani,kiufupi yani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na Tanzania kuliko watanzania wenyewe walioamua kumuunga mkono Dkt Samia?

Polepole huyu huyu alikaa kimya alipowasikia wahuni waliojitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ya Nchi ili kuongeza mda wa ukomo wa Urais Madarakani.Hii inaonyesha wazi walikaa kimya ili kutaka kupima upepo wa Nje ili mda wao waliopanga ukifika watekeleze adhima yao ya kuendelea kubaki madarakani mpaka mda waliokua wamepanga.

Polepole ni mtu wa kupuuzwa hapaswi kusikilizwa hata kidogo na tunajua hawezi kuwa peke yake ni lazima kuna kundi liko nyuma linalompa nguvu na kumficha,Lakini tunasema wakati wa Mungu utafika mda sio mrefu na hukumu ya Mungu itafanya kazi yake.
Unafahamu SSH alikua makamu wa rais kipindi hicho
 
Back
Top Bottom