Polepole anahitaji msaada wa matibabu kuliko kumshangaa

Wote mtakumbuka kuwa huyu bwana mdogo si mzalendo hata kidogo na hata elimu yake i ya kuunga unga yenye gpa ya 2.3. Huwaga anatumia uchawi tu kama ilivyo kwa makonda ili ku excell.

polepole ni mmoja wa wale ambao walitaka kushiikiza mama asiapishe kinyume kabisa na katiba ya nchi. Thnaks to Mbeyo ulisimama kidete. Leo hii tunakula matuda ya mama kiasi ambacho asingeapishwa matunda haya yote yangeyeyuka tukabaki na sifa tu kama zile za kishindo cha jpm kupitia tbc na kupigwa fix nyingi eti tumeingia uchumi wa kati.

Awamu ya tano iliongozwa kwa mikwala na uongo mwingi. Tuliambiwa eti kuna mtu alikuwa aniibiwa TRA mil 7 kwa sekunde. ki ukweli ule ulikuwa uongo mana mpka leo hajulikani ni nani. Ni sawa na akina mwamposa wanakwambia bubu ameongea tena wakti ukweli ni kwamba hayupo popote katika jamii.
Hapo ndo umejibu hoja zake?.
 
Kati yake na Rais wako nani ana elimu ya Kuungaunga?
 
Endelea kukaza fuvu hali ya kuwa chama kinazidi kupasuka...

Polepole ameondoka na kundi kubwa ambalo wanamuunga mkono, na hao mpo nao kwenye vikao ila ikifika muda watajidhirisha rangi zao halisi...

Mambo yenu malizaneni wenyewe mtajuana sisi hayatuhusu, uzuri Polepole kaomba msamaha Watanzania.. Mungu atamsamehe..
Sema chadema ndio mnapapatika na huyo polepole wenu.Kwahiyo kwenu mtu akiwafanyia ujinga alafu akaja kuwazuga kwa msamaha wa uongo na kweli nakuwasema ccm tayari kwenu ni shujaa.Kwa hali hiyo mtashikiwa sana akili.Chama hakipasuki hivyo kwasababu polepole sio kigogo ccm useme anawafuasi wakubwa nyuma yake wanaoweza kuhujumu chama na wanachadema anaowalalamikia nawao wanalalamika tu mitandaoni.Ccm sio kama chadema inayopaparika na habari au tuhuma za juu juu kiasi chakuwafanya waparaganyike.
 
Pole Pole ni mwanaume yule.Kwani mama yako ana usomi gani?Form four felia mama yako.
form 4 aliyefeli lakini ndiyo rais wako wewe unauza mbunye na usomi wako nani zaidi mama mitano tena
 
Wote mtakumbuka kuwa huyu bwana mdogo si mzalendo hata kidogo na hata elimu yake i ya kuunga unga yenye gpa ya 2.3. Huwaga anatumia uchawi tu kama ilivyo kwa makonda ili ku excell.

polepole ni mmoja wa wale ambao walitaka kushiikiza mama asiapishe kinyume kabisa na katiba ya nchi. Thnaks to Mbeyo ulisimama kidete. Leo hii tunakula matuda ya mama kiasi ambacho asingeapishwa matunda haya yote yangeyeyuka tukabaki na sifa tu kama zile za kishindo cha jpm kupitia tbc na kupigwa fix nyingi eti tumeingia uchumi wa kati.

Awamu ya tano iliongozwa kwa mikwala na uongo mwingi. Tuliambiwa eti kuna mtu alikuwa aniibiwa TRA mil 7 kwa sekunde. ki ukweli ule ulikuwa uongo mana mpka leo hajulikani ni nani. Ni sawa na akina mwamposa wanakwambia bubu ameongea tena wakti ukweli ni kwamba hayupo popote katika jamii.
Ukimaliza kuvuta Bangi huko gheto kwa ibilisi kojoa ukalale maana si kwa kujitoa fahamu kiasi hicho, kwa ufala wako unadhani hicho ni kigezo cha kumzuia polepole kuanika madhambi ya sasa tena kwa mtu ambae alikuwa makamu wa Rais na alishiriki kila jambo la magufuli
 
Wote mtakumbuka kuwa huyu bwana mdogo si mzalendo hata kidogo na hata elimu yake i ya kuunga unga yenye gpa ya 2.3. Huwaga anatumia uchawi tu kama ilivyo kwa makonda ili ku excell.

polepole ni mmoja wa wale ambao walitaka kushiikiza mama asiapishe kinyume kabisa na katiba ya nchi. Thnaks to Mbeyo ulisimama kidete. Leo hii tunakula matuda ya mama kiasi ambacho asingeapishwa matunda haya yote yangeyeyuka tukabaki na sifa tu kama zile za kishindo cha jpm kupitia tbc na kupigwa fix nyingi eti tumeingia uchumi wa kati.

Awamu ya tano iliongozwa kwa mikwala na uongo mwingi. Tuliambiwa eti kuna mtu alikuwa aniibiwa TRA mil 7 kwa sekunde. ki ukweli ule ulikuwa uongo mana mpka leo hajulikani ni nani. Ni sawa na akina mwamposa wanakwambia bubu ameongea tena wakti ukweli ni kwamba hayupo popote katika jamii.
Kaka Rostam hebu tulia usimtie hasira huyo jamaa, akaacha kutumia SMG na kuanza kutumia B52 Bombers.
 
Wote mtakumbuka kuwa huyu bwana mdogo si mzalendo hata kidogo na hata elimu yake i ya kuunga unga yenye gpa ya 2.3. Huwaga anatumia uchawi tu kama ilivyo kwa makonda ili ku excell.

polepole ni mmoja wa wale ambao walitaka kushiikiza mama asiapishe kinyume kabisa na katiba ya nchi. Thnaks to Mbeyo ulisimama kidete. Leo hii tunakula matuda ya mama kiasi ambacho asingeapishwa matunda haya yote yangeyeyuka tukabaki na sifa tu kama zile za kishindo cha jpm kupitia tbc na kupigwa fix nyingi eti tumeingia uchumi wa kati.

Awamu ya tano iliongozwa kwa mikwala na uongo mwingi. Tuliambiwa eti kuna mtu alikuwa aniibiwa TRA mil 7 kwa sekunde. ki ukweli ule ulikuwa uongo mana mpka leo hajulikani ni nani. Ni sawa na akina mwamposa wanakwambia bubu ameongea tena wakti ukweli ni kwamba hayupo popote katika jamii.
Mavi tupu!
 
Unauona ukilaza wa Polepole mwenye gpa ya 2.3 lkn huuoni ukilaza wa huyu form 4 failure?
 
Endelea kukaza fuvu hali ya kuwa chama kinazidi kupasuka...

Polepole ameondoka na kundi kubwa ambalo wanamuunga mkono, na hao mpo nao kwenye vikao ila ikifika muda watajidhirisha rangi zao halisi...

Mambo yenu malizaneni wenyewe mtajuana sisi hayatuhusu, uzuri Polepole kaomba msamaha Watanzania.. Mungu atamsamehe..
Mimi Nadhani mtanisaidia lakini Huyu pole pole huyuuu atakuwa na Matatizo sana lakini tujue nani yupo nyuma yake?
 
form 4 aliyefeli lakini ndiyo rais wako wewe unauza mbunye na usomi wako nani zaidi mama mitano tena
Kwani kuwa Rais ndo hakunyi mavi.Hata nikiuza mbunye mwisho wa siku mimi na mama.yako tukienda kunya chooni tunaacha the same shit.
 
Tatizo la nchi hii ni wajinga kupewa nafasi na welevu kunyimwa nafasi.
Sasa hapa mtoa mada anamuona Polepole Hana akili wakati ameshindwa kujibu hoja zake.
 
POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA

Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli

Kwanini Polepole hakumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanya kazi zao za kikatiba?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awatafute wahuni waliokua wanabambikia watu kesi na kupora mali zao,wahuni waliokua wanateka,anatesa na kuuwa watu?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awashughulikie wahuni walipora fedha kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kupelekea wastaafu kukosa fedha zai kwa wakati?

Leo polepole anajikasimisha majukumu mazito ya kujifanya kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumi hilo amepewa na nani,kiufupi yani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na Tanzania kuliko watanzania wenyewe walioamua kumuunga mkono Dkt Samia?

Polepole huyu huyu alikaa kimya alipowasikia wahuni waliojitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ya Nchi ili kuongeza mda wa ukomo wa Urais Madarakani.Hii inaonyesha wazi walikaa kimya ili kutaka kupima upepo wa Nje ili mda wao waliopanga ukifika watekeleze adhima yao ya kuendelea kubaki madarakani mpaka mda waliokua wamepanga.

Polepole ni mtu wa kupuuzwa hapaswi kusikilizwa hata kidogo na tunajua hawezi kuwa peke yake ni lazima kuna kundi liko nyuma linalompa nguvu na kumficha,Lakini tunasema wakati wa Mungu utafika mda sio mrefu na hukumu ya Mungu itafanya kazi yake.
Mtu yeyote anayeona mama Chura Kiziwi hafanyi vyema unaona ana matatizo ya akili? Kama ni hivyo basi watanzania wote millioni 64 wana matatizo ya akili isipokuwa wanachama 1 Millioni wanaomsapoti chura kiziwi.
 
POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA

Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli

Kwanini Polepole hakumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanya kazi zao za kikatiba?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awatafute wahuni waliokua wanabambikia watu kesi na kupora mali zao,wahuni waliokua wanateka,anatesa na kuuwa watu?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awashughulikie wahuni walipora fedha kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kupelekea wastaafu kukosa fedha zai kwa wakati?

Leo polepole anajikasimisha majukumu mazito ya kujifanya kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumi hilo amepewa na nani,kiufupi yani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na Tanzania kuliko watanzania wenyewe walioamua kumuunga mkono Dkt Samia?

Polepole huyu huyu alikaa kimya alipowasikia wahuni waliojitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ya Nchi ili kuongeza mda wa ukomo wa Urais Madarakani.Hii inaonyesha wazi walikaa kimya ili kutaka kupima upepo wa Nje ili mda wao waliopanga ukifika watekeleze adhima yao ya kuendelea kubaki madarakani mpaka mda waliokua wamepanga.

Polepole ni mtu wa kupuuzwa hapaswi kusikilizwa hata kidogo na tunajua hawezi kuwa peke yake ni lazima kuna kundi liko nyuma linalompa nguvu na kumficha,Lakini tunasema wakati wa Mungu utafika mda sio mrefu na hukumu ya Mungu itafanya kazi yake.
Tulia dawa ikuingie
 
Attachments

  • 1759523062407.jpg
    1759523062407.jpg
    143.5 KB · Views: 20
Back
Top Bottom