Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,162
Reaction score
48,429
Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.

Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na dhamira njema kwa Tanzania.

Kumbe Magufuli baada ya kugundua fedha zinachotwa serikalini, yeye akaamua kuziwekeza kwenye miradi ili kama ni madeni ni bora watanzania walipe lakini wakiwa wana miundombinu inayowasaidia kuendesha maisha yao.

Zile hotuba zake kama anapambana na mara majeshi au watumishi wa Serikali, Leo zinaleta mantiki zaidi kuliko wakati akizitoa.

Magufuli alikuwa anajua yupo peke yake kwenye harakati za kuijenga Tanzania maana hata watu kama Makonda kumbe nao Wana vimelea vya CCM mtandao.

Ukweli utajulikana siku moja.
 
Shida yake kubwa ilikuwa ni ukabila na ukanda, pamoja na kushindwa kukubali kukosolewa
Haukuelewa hata hili? JPM hakuwa msukuma na maadui wangetumia hiyo kumdhoofisha ikabidi aji align na hao wa Kanda ya huko Ili angalau awe na uhakika na support Yao na hapo alifanikiwa. Ili watu waku support si lazima kuonyesha kuwa upande wao?

Shida ya watu wetu wengi hata waliosoma hawajafundishwa critical thinking...Wanachukua vitu at face value na lip service. They cannot discern intents. Na waovu wanajua hilo
 
Umechelewa sana kujua mkuu
Mambo mengi hujengwa kwa kufuata taswira ya mitazamo yetu. Leo unajiuliza imekuwaje waliokuwa wapinzani wake ndani ya CCM Leo hii ndiyo wameshika hatamu za kiuongozi ndani ya CCM na serikali?

Halafu kama ni yeye binafsi ndiye aliyekuwa hataki kukosolewa... Mbona hawa wa sasa ndiyo wamezidisha mbinyo kwa wakosoaji wao?
 
Lawama kubwa zinaenda Kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama...Wanalinda waovu zaidi ya kulinda watu wema, walio na maamuzi wengi wanakuwa corrupted na wanaobaki wanakuwa hawana namna ya kufanya
Kwanini unawalaumu vyombo vya ulinzi ilihali unawajua wanaowateua???

Wewe ni boss ukiniteua niwe RPC unadhani nitatenda kinyume na matakwa yako?
 
Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.

Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na dhamira njema kwa Tanzania.

Kumbe Magufuli baada ya kugundua fedha zinachotwa serikalini, yeye akaamua kuziwekeza kwenye miradi ili kama ni madeni ni bora watanzania walipe lakini wakiwa wana miundombinu inayowasaidia kuendesha maisha yao.

Zile hotuba zake kama anapambana na mara majeshi au watumishi wa Serikali, Leo zinaleta mantiki zaidi kuliko wakati akizitoa.

Magufuli alikuwa anajua yupo peke yake kwenye harakati za kuijenga Tanzania maana hata watu kama Makonda kumbe nao Wana vimelea vya CCM mtandao.

Ukweli utajulikana siku moja.
Yes, ila suala la matibabu ya TAL lilimchafua.
 
Makonda ndiye alitoa password kwa wauaji wa Magufuli ndiyo maana yuko pamoja nao leo hii bega kwa bega.
 
Kwanini unawalaumu vyombo vya ulinzi ilihali unawajua wanaowateua???

Wewe ni boss ukiniteua niwe RPC unadhani nitatenda kinyume na matakwa yako?
Wamefundishwa jinsi ya ku deal na challenges hizo zote...Kama hawapo corrupted wasingeruhusu hao waote mizizi...Halafu vile viapo wanajua tafsiri yake? Unaapa kulinda individual au mamlaka? Na je unatofautishaje individual na mamlaka yake?

Unadhani wengi wangekuwa kama Slow slow Kuna ambaye angefurukuta? Lakini kujikuta wameshaji compromise na hasa wale wenye strategic position what will others do?
 
Back
Top Bottom