Scared
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,847
- 17,503
Yaani alikuwa kila siku anaongea kwa kuficha ficha anaacha kumwaga Kila kitu hadharani sijui alikuwa anaficha ficha nini mwisho wa siku wamemnyakua kabla hata mengine hajaongea
Kapata alichokuwa anakitafuta. Kama umeamua kumwaga mambo Yao wewe nyooka tu kama Kapteni Tesha sio unaongea kwa mafumbo mengii
Kapata alichokuwa anakitafuta. Kama umeamua kumwaga mambo Yao wewe nyooka tu kama Kapteni Tesha sio unaongea kwa mafumbo mengii