Polepole alikataa kuwa DC sasa auvalia suti

Polepole alikataa kuwa DC sasa auvalia suti

Wana jamvi,

Tutakumbuka ni jinsi gani Polepole alivyokuwa anapinga nafasi za Wakuu wa Wilaya kwa kuisimamia rasimu ya katiba ya Jaji Warioba, alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa vyeo hivyo ni vya kupoteza fedha! Sasa nashangaa kuvalia suti kuingia ofisi hiyo hiyo baada ya kupewa nafasi hiyo na mh. rais Magufuli, je tuendelee kumwamini Polepole?View attachment 365900
Usiamini asemacho mwana siasa, labda jina lake tuu.
 
Wana jamvi,

Tutakumbuka ni jinsi gani Polepole alivyokuwa anapinga nafasi za Wakuu wa Wilaya kwa kuisimamia rasimu ya katiba ya Jaji Warioba, alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa vyeo hivyo ni vya kupoteza fedha!

Sasa nashangaa kuvalia suti kuingia ofisi hiyo hiyo baada ya kupewa nafasi hiyo na mh. rais Magufuli, je tuendelee kumwamini Polepole?

Ni sawa na akina Mbowe na Lissu walivyomkataa Lowassa halafu wakampatia ugombea. Sielewi ni kwa nini tuendelee kuwaamini
 
Ha haaa haaaaa.. . Mkuu huyu jamaa ni noma.... Cameron pamoja ya kuwa muda wake wa kuwa waziri mkuu wa UK haujaisha, lakini kajiudhuru kutunza kile anacho kiamini.... Polepole hawezi kuishi yale anayo yahubiri na kuyaamini......
Ni Dr. Slaa na Prof. Lipumba pekee nio waliweza kujiuzulu kutunza kile wanachoamini kwamba Edo ni fisadi mkuu
 
Sumaye alisema CCM ikimteua Lowassa atajitenga nae CCM ikatekeleza ushauri wake lakini akala matapishi yake baada ya kuoneshwa Marobota ya fedha na kukumbushwa kuwa Fisadi ni homeboy na Mlutheran mwenzake
 
Afadhali Sumaye alisema lakini Polepole aliandika Kwa mkono wake kwenye rasimu ya katiba vizazi Na vizazi watasoma
 
Mbowe,Tundu, Nyika, leo wako na aliyewafanya wananchi waone wanachukia ufisafi mnamshangaa huyo dagaa?
 
Oanisha na Lowassa kujitwalia CHADEMA, utaelewa maana yake
Nilikuwa naomba kuuliza ni wapi fomu za kugombea uenyekiti wa chama taifa ili nami ni kachukue
 
Sumaye alisema CCM ikimteua Lowassa atajitenga nae CCM ikatekeleza ushauri wake lakini akala matapishi yake baada ya kuoneshwa Marobota ya fedha na kukumbushwa kuwa Fisadi ni homeboy na Mlutheran mwenzake
Habari ya mujini kwa sasa ni mpasuko ndani ya ccm
 
Nilikuwa naomba kuuliza ni wapi fomu za kugombea uenyekiti wa chama taifa ili nami ni kachukue
Utawezas kumpinga Mbowe wewe? Lowassa alijiunga CHADEMA asubuhi mchana akatangazwa mgombea bila kupingwa ingawa wapinzani walikuwapo tayari, jioni katangazwa mjumbe halimashauri kuu. Mashinji ilikuwaje? Jaribu kumpinga Mbowe uone, asiyejua kufa achungulie kaburi. Wewe kaburi lako ni kina wangwe, zitto, slaa n.k.
 
I don't trust species so called politicians
 
Back
Top Bottom