Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,063
Wana jamvi,
Tutakumbuka ni jinsi gani Polepole alivyokuwa anapinga nafasi za Wakuu wa Wilaya kwa kuisimamia rasimu ya katiba ya Jaji Warioba, alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa vyeo hivyo ni vya kupoteza fedha!
Sasa nashangaa kuvalia suti kuingia ofisi hiyo hiyo baada ya kupewa nafasi hiyo na mh. rais Magufuli, je tuendelee kumwamini Polepole?