Sukari leo hii kilo moja ni sh ngapi? Vile?
Naulizia fomu za kugombea uenyekiti wa ccm taifaUtawezas kumpinga Mbowe wewe? Lowassa alijiunga CHADEMA asubuhi mchana akatangazwa mgombea bila kupingwa ingawa wapinzani walikuwapo tayari, jioni katangazwa mjumbe halimashauri kuu. Mashinji ilikuwaje? Jaribu kumpinga Mbowe uone, asiyejua kufa achungulie kaburi. Wewe kaburi lako ni kina wangwe, zitto, slaa n.k.
Sawa naomba unijuze bei ya sukari kilo moja ni sh ngapi tafadhali!kuwa muungwanasukari ndo unayoona issue sana! kudai demokrasia wakati ulipo hamna demokrasia nikuwatukana wananchi! leo fisadi kesho msafi kiaa kaungana na wewe poor party
Sawa naomba unijuze bei ya sukari kilo moja ni sh ngapi tafadhali!kuwa muungwana
Ni vigumu sana ukiwa hai na kuyaishi unayojiapizaWana jamvi,
Tutakumbuka ni jinsi gani Polepole alivyokuwa anapinga nafasi za Wakuu wa Wilaya kwa kuisimamia rasimu ya katiba ya Jaji Warioba, alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa vyeo hivyo ni vya kupoteza fedha!
Sasa nashangaa kuvalia suti kuingia ofisi hiyo hiyo baada ya kupewa nafasi hiyo na mh. rais Magufuli, je tuendelee kumwamini Polepole?
Jitahidi kuwa na kumbukumbu huyo Warioba na yeye mbona aliishageuka kitambo? ulishuhudia alichokuwa akikiongea wakati wa kampeni na je umeishawahi kumsikia akiongea lolote juu ya umuhimu wa maoni ya katiba waliyokuwa wameiandaa?Sijui mzee jaji warioba atakuwa anajisikiaje kwa kumuona kijana wake anamgeuka ktk walio kuwa wana hubiri
2200×2=4400/=?au nimekosea?
hahaha hv huko ufipa kilo moja ya sukari ni sh ngapi? ni juze mkuu.Hizo ngendembwe waambie wenzako wana lumumba
OnHata yeye amenyamazishwa kumbuka Kipi pia ni DC
Sijui mzee jaji warioba atakuwa anajisikiaje kwa kumuona kijana wake anamgeuka ktk walio kuwa wana hubiri
Siasa hazina maana, Yericko, Mnyika na Lema jinsi walivyomtukana Lowassa usingeamini kuwa leo wapo pamoja.
lizaboni mbona umesahaulika kwenye teuzi za mkulu au elimu haitoshii maana nasikia mkulu anateua wasomi tu.Mna wivu kweli? Nasubiri unipe taarifa kama mbaazi zimeanza kukauka. Mwaka huu nataka kuexport za kutosha
Hasira za nini mukubwa?