Polepole alikataa kuwa DC sasa auvalia suti

Polepole alikataa kuwa DC sasa auvalia suti

Njaaa mbaya jamani muacheni mwenzeni anyonye.Polepole oyeee katiba ya wananchi mbele ya njaaa kitu gani bwana mdogo polepole
Na siku hizi humuoni jf anaogopa maswali
 
hahaha hv huko ufipa kilo moja ya sukari ni sh ngapi? ni juze mkuu.
Ufipa ndiyo nchi gani? Kama ufipa ya sumbawanga cheki na mtoto wa mkulima atakujlisha
 
Mwanadamu sio ukuta huwa wakati mwingine anaamini hiki na wakati mwingine huamini kile hii ni kawaida sana kwa mwadamu na hii wala isifasiliwe kama ni njaa
Haya nawe utapewa ukatibu tarafa ya mwandiga
 
Wana jamvi,

Tutakumbuka ni jinsi gani Polepole alivyokuwa anapinga nafasi za Wakuu wa Wilaya kwa kuisimamia rasimu ya katiba ya Jaji Warioba, alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa vyeo hivyo ni vya kupoteza fedha!

Sasa nashangaa kuvalia suti kuingia ofisi hiyo hiyo baada ya kupewa nafasi hiyo na mh. rais Magufuli, je tuendelee kumwamini Polepole?

Mbona kama naona dole la kati limenyooshwa sana?
Samahani lakini.
 
Wana jamvi,

Tutakumbuka ni jinsi gani Polepole alivyokuwa anapinga nafasi za Wakuu wa Wilaya kwa kuisimamia rasimu ya katiba ya Jaji Warioba, alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa vyeo hivyo ni vya kupoteza fedha!

Sasa nashangaa kuvalia suti kuingia ofisi hiyo hiyo baada ya kupewa nafasi hiyo na mh. rais Magufuli, je tuendelee kumwamini Polepole?

tehe...tehe..tehe.kumbe we ulikua unaamini maneno yake.
 
Ni kazi ngumu sana kujikana mwenyewe, lakini inawezekana. He did it.
 
Inaaminika ni zawadi kwa kazi yake nzuri ya kuonekana kwenye TV kila siku kumponda Lowassa wakati wa uchaguzi.
 
Kumbe hakua mtetezi wetu ktk ile katiba, Alikua anatafuta cheo tu
 
Ccm sasa kwishneyyyyyyyy
Na Gwajima anaibuka shujaa kwa aliyo yasema na sasa yanaonekana
Ccm kwishneyyyyyyyy

..ccm haiwezi kufa huku iko madarakani.

..wanaotaka kuasi wakifikiria rungu la dola liyakavyowashukia wanakuwa wapole mara moja.

..hakuna mwana ccm anayeko tayari kunyanyaswa na kusumbuliwa kama inavyotokea kwa kina Tundu Lissu na wengine walioko ukawa.
 
Nimekusoma sana mkuu
 
Back
Top Bottom