Polepole alikataa kuwa DC sasa auvalia suti

Polepole alikataa kuwa DC sasa auvalia suti

Issue sio povu, ukweli uko wazi mnawafahamu waliowahi kutoa matamko ya kumkataa kiongozi fulani kuwa ni shetani lakini alipowanunua wakachange gear angani na kumpeleka kundi la malaika. Kilichoangaliwa ni maslahi. Na uzuri Mwenyekiti alizungumza wazi kuwa ilikuwa ngumu kuacha Asset ile vinginevyo angeonekana mwehu. Na Mimi nakubaliana naye, siasa ni biashara hasa kama unamiliki chama ambacho kimekuwa kikibreak even kwa miaka mingi then supernormal profit inakuja unaipiga teke, angeonekana mwehu. Na baada ya hapo hakuna aliyethubutu kumkosoa Mwenyekiti zaidi ya wale wawili walioondoka. Walisahau mahubiri yao kabisa na kuacha kuyaishi. Nguvu ya fedha imefunika kila kitu.

Cha msingi tujue 98% ya wanasiasa na wanaharakati wanapigania matumbo yao na faida nyinginezo. Fursa inapotokea hawaiachii. Mwacheni Pole pole atumikie umma.
We utwakuwa polepole au uko affiliated nae si bure.... hayo mengine uliyo andika ni maoni yako binafsi na kwa mujibu wa katibu unaruhusiwa.....
Ila pole pole kama kijana hajatendea haki alicho jaribu kutuaminisha watz..... kwa kifupi ni kwamba , kakanyaga imani yote aliyo tujengea tangu alipo kubali huo uteuzi....
 
Sasa sijui anaitambua katiba ya warioba au ya sitta? Unafiki ni dhambi mbaya sana mbele ya mwenyezi mungu.
 
Wana jamvi,

Tutakumbuka ni jinsi gani Polepole alivyokuwa anapinga nafasi za Wakuu wa Wilaya kwa kuisimamia rasimu ya katiba ya Jaji Warioba, alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa vyeo hivyo ni vya kupoteza fedha! Sasa nashangaa kuvalia suti kuingia ofisi hiyo hiyo baada ya kupewa nafasi hiyo na mh. rais Magufuli, je tuendelee kumwamini Polepole?View attachment 365900

Lini ulimuamini?

Wewe endelea kutojiamini.

Huwashi huzimi.
 
Wana jamvi,

Tutakumbuka ni jinsi gani Polepole alivyokuwa anapinga nafasi za Wakuu wa Wilaya kwa kuisimamia rasimu ya katiba ya Jaji Warioba, alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa vyeo hivyo ni vya kupoteza fedha! Sasa nashangaa kuvalia suti kuingia ofisi hiyo hiyo baada ya kupewa nafasi hiyo na mh. rais Magufuli, je tuendelee kumwamini Polepole?View attachment 365900
Tatizo alikua anasaka tonge
 
Pilipili iko shamba yakuwashanii?

Ukisikia ushambenga ndiyo huo wako.
Utamaliza kila aina ya misemo
Na bado li ccm lenu ndio linapasuka vipande vipande,mmeashaanza kushikana uchawi
 
Hivi ukawa bado ipo?

CCM mbele kwa mbele.
Mbele kwa mbele vipande vipande, naibu katibu mkuu mnaye mtuhumu yeye ndiye mwenye chama na wanachama wengi wenye nguvu,poleni sana
Ccm sasa kwishneyyyyyyyy
1468416856204.jpg
 
Hahahaha, unajuwa maana ya "tetesi"?

Hivi ukawa bado ipo?
Ccm sasa kwishneyyyyyyyy
Na Gwajima anaibuka shujaa kwa aliyo yasema na sasa yanaonekana
Ccm kwishneyyyyyyyy
 
Njaa haina baunsa mjomba , huyu muda si mrefu utasikia akiamrisha polisi wamkamate Kubenea !
nionyeshe ni kiongozi gani ndani ya CHADEMA na UKAWA yote kwa ujumla ambaye hakuwahi kula matapishi yake?
 
Wana jamvi,

Tutakumbuka ni jinsi gani Polepole alivyokuwa anapinga nafasi za Wakuu wa Wilaya kwa kuisimamia rasimu ya katiba ya Jaji Warioba, alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa vyeo hivyo ni vya kupoteza fedha! Sasa nashangaa kuvalia suti kuingia ofisi hiyo hiyo baada ya kupewa nafasi hiyo na mh. rais Magufuli, je tuendelee kumwamini Polepole?View attachment 365900
Mnafiki tu huyo. Ana njaa balaa, mchumia tumbo huyo.
 
Mkuu ila alipambana sana kakipigania chama wewe alivyokuwa akosi mada moto kila kipindi mpaka watu wakajua mtangazaji Wa kipindi kumbe kukipambania chama hayo ndio malipo Yake mnafiki ulipwa unafiki wake yeye kalipwa kile alichokuwa anakikataa
 
Mmawia vijana wako CCM wanafiki usije ukaweka imani kwao wale njaa zinawasumbua muda wowote wanaweza kubadilika
 
Back
Top Bottom