Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,513
- 283,984
Mbona aliyempiga ngwala kaula ?Sijui mzee jaji warioba atakuwa anajisikiaje kwa kumuona kijana wake anamgeuka ktk walio kuwa wana hubiri
Mbona aliyempiga ngwala kaula ?Sijui mzee jaji warioba atakuwa anajisikiaje kwa kumuona kijana wake anamgeuka ktk walio kuwa wana hubiri
Mkuu mbona povu jingi? Alicho fanya polepole kiko waz njoo na mfano wa upande wa pili tuujue mkuu....Ni kiongozi gani wa upande wa pili anayeyaishi maneno yake. Si mda mrefu karibia wote waliyapuuza maneno yao kisa njaa.
Hakuna mwanasiasa anayetanguliza masrahi ya mtu mwingine badala ya masrahi yake kwanza. Acheni ajitengenezee jina katika medani za siasa. Au yeye hapaswi kugraduate toka kuwa mwanaharakati na kuwa mwasiasa kama wengine? Mwacheni apigiwe saruti bwana.
Na wale wote walio kuwa wakipigia kelele ile rasimu ndo ki aina walio valishwa hiyo miwani ya mbao na kwa cheo walicho kuwa wanakipinga....Hiyo ndiyoinaitwa miwani ya mbao,sidhani kama wataisimamia tena ile rasimu ya katiba
Huyu Polepole mwanzo alikuwa akifanya Timing ya kumkata Kobe Kichwa na amefanikiwa, hakuwa na nia ya DHATI TOKA MOYONI kuwatetea Watz. wanyonge na hili liligundulika na kudhirishwa pale siku moja alipokuwa na Mjadala Channel Ten yeye na Peter Msigwa alionyesha wazi ni KADA WA LUMUMBA.Hasira za nini mukubwa?
Siasa inatokana na neno Si Hasa......Mambo aliyoyasema hakumanisha na isitoshe katiba itumikayo si ile aloizungumza na kama haitoshi na yeye anatafuta rizki...namalizia kusema Bakhti ya mwenzio..........utamaliziaWana jamvi,
Tutakumbuka ni jinsi gani Polepole alivyokuwa anapinga nafasi za Wakuu wa Wilaya kwa kuisimamia rasimu ya katiba ya Jaji Warioba, alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa vyeo hivyo ni vya kupoteza fedha! Sasa nashangaa kuvalia suti kuingia ofisi hiyo hiyo baada ya kupewa nafasi hiyo na mh. rais Magufuli, je tuendelee kumwamini Polepole?View attachment 365900
Pale kasulu kuna kabinti kaliniambia kana watoto nikashangaaKwa sasa ninalima maharage na mahindi hapa kakonko unakaribishwa sana
Kwani yeye hajageuka??Sijui mzee jaji warioba atakuwa anajisikiaje kwa kumuona kijana wake anamgeuka ktk walio kuwa wana hubiri
Issue sio povu, ukweli uko wazi mnawafahamu waliowahi kutoa matamko ya kumkataa kiongozi fulani kuwa ni shetani lakini alipowanunua wakachange gear angani na kumpeleka kundi la malaika. Kilichoangaliwa ni maslahi. Na uzuri Mwenyekiti alizungumza wazi kuwa ilikuwa ngumu kuacha Asset ile vinginevyo angeonekana mwehu. Na Mimi nakubaliana naye, siasa ni biashara hasa kama unamiliki chama ambacho kimekuwa kikibreak even kwa miaka mingi then supernormal profit inakuja unaipiga teke, angeonekana mwehu. Na baada ya hapo hakuna aliyethubutu kumkosoa Mwenyekiti zaidi ya wale wawili walioondoka. Walisahau mahubiri yao kabisa na kuacha kuyaishi. Nguvu ya fedha imefunika kila kitu.Mkuu mbona povu jingi? Alicho fanya polepole kiko waz njoo na mfano wa upande wa pili tuujue mkuu....
Hongera sana mkuu kwa kuliona hilo na hao ndiyo aina ya viongozi wetuHuyu Polepole mwanzo alikuwa akifanya Timing ya kumkata Kobe Kichwa na amefanikiwa, hakuwa na nia ya DHATI TOKA MOYONI kuwatetea Watz. wanyonge na hili liligundulika na kudhirishwa pale siku moja alipokuwa na Mjadala Channel Ten yeye na Peter Msigwa alionyesha wazi ni KADA WA LUMUMBA.
Kwa ufupi Hasira zangu ni UNAFIKI wa Watz. unaoonyeshwa kama huu wa Polepole, ambao hakika ufalme wa Mbigu kwa watu wa namna hii utakuwa ni Msamiati na kila mmoja wetu atatoa hesabu yake watu wasiangalie matumbo yao tu na kuna maisha baada ya haya ya duniani.
Utamdanganya mwanadamu kwa muda fulani tu lakini hutoweza kumdanganya muda wote na wadamu wote kwa pamoja,na pia DAIMA hutoweza mdanganya Muumba wako.
Huyu Polepole amrudie Mungu na kuungama dhambi zake mojawapo ni kukubali kutumika na swisswism ambayo imewanyima Watz. na kushindwa kuwaletea maendeleo na kuwapatia Mahitaji ya Msingi na yenye Tija zaidi ya miaka 55 ya Uhuru.Ilikhali nchi yenye Neema na Baraka tele maziwa na asali, hakika hesabu watatoa tu.
Nimemalizia mkuu!!!Siasa inatokana na neno Si Hasa......Mambo aliyoyasema hakumanisha na isitoshe katiba itumikayo si ile aloizungumza na kama haitoshi na yeye anatafuta rizki...namalizia kusema Bakhti ya mwenzio..........utamalizia
Woga tuNjaa imemzidi maarifa