Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,269
- 7,411
Mshukuru Mungu kama amekupa kipato cha kudharau binadamu wenzio! nakufahamisha tu hata Said Salim Bakhresa alikuwa machingaMtu anayetetea machungu hajielewi imagine hawalipi Kodi, wanaziba barabara na mitaro wanachafua mji na wako kila corner halafu waachwe in the name of wanyonge, pia hao machinga walikuwa wanapata faida kubwa vile hawalipi Kodi, mambo ya OSHA na Kodi kibao. Mimi natamani jiji zima lisafishwe barabara ziwe clean na waende sehemu zilizotengwa kihalali