Poleni sana wamachinga, hiyo ndiyo CCM haijawahi kubadilika

Kuwa mwana ccm inahitaji kujitoa akili
Kila siku unapiga kelele humu kuwa wamachinga wamezidi na miji yetu ipangwe! Leo serikali imefanya kweli, unageuka unaanza kuil au ku! Huo ni undumilakuwili lack of ideological senses
 
Ukitumia ustaarabu kamwe wamachinga hutoweza kuwaondoa
 
Hao wamachinga walijiona nao ni wafanyakazi wa ikulu, nasema hivi, kazi iendelee...
Watolewe na uchafu wao.

Nchi ionekane kwamba ina sheria za usafi wa mazingira na wizara ya mazingira na mabwana afya.

Everyday is Saturday...............................
 
Siipendi ccm ila kwa hili nawaunga mkono, hao jamaa wanafanya biashara kila sehemu
 
Huwezi mtenganisha mtz na mikopo
 
Mkuu kazi zinazowapa watu riziki unaita uchafu.Haya ni maisha tu na hakuna anae penda akae hapo nje.Mm binafsi nawaonea huruma sana maana nao wana familia na ukiangalia kwa sasa ajira ni ngumu sana ......so sad
 
Usiku ndo vzuri...mnakuja asubuhi mnakuta peupe..mnataka wafanye mchana ili mlete fujo
 
Hakuna kujificha kwenye chama machinga warudi walikotoka

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kazi zinazowapa watu riziki unaita uchafu.Haya ni maisha tu na hakuna anae penda akae hapo nje.Mm binafsi nawaonea huruma sana maana nao wana familia na ukiangalia kwa sasa ajira ni ngumu sana ......so sad
Wamechafua majiji na miji,
Hilo halipingiki,
Wameziba mitaro ya maji ya mvua na mitaro ya maji taka sewage,

Kama hayo ya wao kutupa matakataka kila mahali unaona ni usafi sina cha kusema, tuendelee kuheshimiana mitazamo, wewe ukiamini kazi zao ni safi, mimi nikiamini zimechafua miji..
Kazi iendeleee...wamachinga huwa wanazurula na biashara mkononi siyo hawa.

Everyday is Saturday..............................
 
Tatizo waliendekezwa na mwenyekiti wa ccm na walihakikishiwa kabisa kuwa hakuna mtu wa kuwagusa maana waliichagua ccm.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…