Poleni Makete kwa hili baridi la Centigrade 8

Nipo Makete leo kikazi lakini baridi la huku ni hatari, sijawahi kuona baridi kama hili la Centigrade 8.

Nimejaribu kucheki kanda nyingine lakini haijafikia balaa la Makete.

Iringa 15C
Mufindi 10C
Mafinga 11C
Lushoto 12C
Mbinga 15C
Rungwe 13C
Makambako 12C
Njombe 11C
Arusha 16C
Babati 16C
Monduli 15C
Machame 12C
Makete 8C

Kwa hali hii Makete na Njombe wana haki ya kuongoza kwa idadi ya waathirika wa UKIMWI

UPDATE:

Sasa hivi ni saa 11 asubuhi imepanda mpaka 14 degrees Centigrade wenyeji wanasema sasa hivi afadhali ni joto wakati mimi bado nipo karibu na jiko na makoti 2.

Hii ni hatari jana nilienda haja kubwa nilichambia makaratasi, maji hayashikiki balaa tupu.
ebwana wee kuna sehemu nilienda mbeya inaitwa mwakaleli nako baridi kipindi kama hichi na mafinga sometime barafu huonekana
 
Inaone
Nipo Makete leo kikazi lakini baridi la huku ni hatari, sijawahi kuona baridi kama hili la Centigrade 8.

Nimejaribu kucheki kanda nyingine lakini haijafikia balaa la Makete.

Iringa 15C
Mufindi 10C
Mafinga 11C
Lushoto 12C
Mbinga 15C
Rungwe 13C
Makambako 12C
Njombe 11C
Arusha 16C
Babati 16C
Monduli 15C
Machame 12C
Makete 8C

Kwa hali hii Makete na Njombe wana haki ya kuongoza kwa idadi ya waathirika wa UKIMWI

UPDATE:

Sasa hivi ni saa 11 asubuhi imepanda mpaka 14 degrees Centigrade wenyeji wanasema sasa hivi afadhali ni joto wakati mimi bado nipo karibu na jiko na makoti 2.

Hii ni hatari jana nilienda haja kubwa nilichambia makaratasi, maji hayashikiki balaa tupu.
inaonekana hujazoea baridi , kama Makete ndio unalalama hivyo je Ulaya? na uko wrong kuhusisha na UKIMWI na baridi, havina uhusiano wowote , mbona ulaya HIV prevalence iko chini compare na makete
 
Hahahaaa nimepita humu ili nicheke tu na kweli nimecheka sana kwa comments zilizopo
 
Nipo Makete leo kikazi lakini baridi la huku ni hatari, sijawahi kuona baridi kama hili la Centigrade 8.

Nimejaribu kucheki kanda nyingine lakini haijafikia balaa la Makete.

Iringa 15C
Mufindi 10C
Mafinga 11C
Lushoto 12C
Mbinga 15C
Rungwe 13C
Makambako 12C
Njombe 11C
Arusha 16C
Babati 16C
Monduli 15C
Machame 12C
Makete 8C

Kwa hali hii Makete na Njombe wana haki ya kuongoza kwa idadi ya waathirika wa UKIMWI

UPDATE:

Sasa hivi ni saa 11 asubuhi imepanda mpaka 14 degrees Centigrade wenyeji wanasema sasa hivi afadhali ni joto wakati mimi bado nipo karibu na jiko na makoti 2.

Hii ni hatari jana nilienda haja kubwa nilichambia makaratasi, maji hayashikiki balaa tupu.
Kiutaalam Nchi nzima inaweza kuwa baridi kama tutafunga mipaka yote ili hiyo baridi ikose pa kutokea
 
Acha kudanganya nani kasema kuna uhusiano Wa barid na UKIMWI? Au mingono yako zembe ndio sababu,*KWA HIYO NA WEWE UMEPATA UKIMWI?*

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Nyie kweli bado.yaani 8 hadi 11 si joto hilo.mbona hapa kwa madiba tunapata 2 hadi negative 1

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom