David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,559
- 8,412
0c mkuu kuna kugegedana kweli hapo ni balaa hiyo.Kuna miaka ya karibuni iliwahi kusoma 0c Mkuu, ilikuwa ni hatari.
Kuna kipindi lushoto iligonga mpaka 6c ilikuwa ni balaa dushe ilikuwa ndogo kama kipisi cha sigara mpaka nikawa naogopa