- Thread starter
- #41
Kwa hali hii niliyoikuta nakubaliana na wewe kiongoziHakuna mji wenye baridi kali hapa Tz kama Makete nadhani!
Kwa hali hii niliyoikuta nakubaliana na wewe kiongoziHakuna mji wenye baridi kali hapa Tz kama Makete nadhani!
Wenyeji wanasema kitulo ni funga kaziKwa mujibu wa watàfiti toka mamlaka ya hali hewa nchini, eneo la kikondo wilayani makete ndilo eneo lenye baridi kari zaidi hapa nchini.
lushoto sehemu yenye baridi kali ni magamba kwa mh Benjamin mkapa karibu na chuo cha Sebastian kolowa university inafika mpaka 10centigradeNa lushoto pia
umeshasema wenzentu,wale wamepewa elimu ya kujikinga na maambukizi tangu wakiwa wadogo;umewahi kusikia nchi za ulaya kuna mlipuko wa homa za kuhara au kipindupindu??Sasa baridi ikizidi ndio waongeze waathirika wa ukimwi?
Mbona wenzetu wanaishi maeneo ya baridi zaidi ya hiyo ila hali hakuna maambukizi ya ukimwi?
Kwa mujibu wa watàfiti toka mamlaka ya hali hewa nchini, eneo la kikondo wilayani makete ndilo eneo lenye baridi kari zaidi hapa nchini.
Aisee sisi tulishazoea ndo kwetu. Karibu sana mkuu.... Kila bar huku ina jiko la mkaa Kwa kila meza
kuwa serious mkuu nioge??jana yenyewe nilienda haja kubwa lakini sikuweza kunawa nilichambia makaratasi,maji hayashikiki kwa mikono brother kama haumini ulizia wenyeji wa huku
Siita lukholo lwanguNipo Makete leo kikazi lakini baridi la huku ni hatari, sijawahi kuona baridi kama hili la Centigrade 8.
Nimejaribu kucheki kanda nyingine lakini haijafikia balaa la Makete.
Iringa 15C
Mufindi 10C
Mafinga 11C
Lushoto 12C
Mbinga 15C
Rungwe 13C
Makambako 12C
Njombe 11C
Arusha 16C
Babati 16C
Monduli 15C
Machame 12C
Makete 8C
Kwa hali hii Makete na Njombe wana haki ya kuongoza kwa idadi ya waathirika wa UKIMWI
UPDATE:
Sasa hivi ni saa 11 asubuhi imepanda mpaka 14 degrees Centigrade wenyeji wanasema sasa hivi afadhali ni joto wakati mimi bado nipo karibu na jiko na makoti 2.
Hii ni hatari jana nilienda haja kubwa nilichambia makaratasi, maji hayashikiki balaa tupu.
Kikondo na Kitulo ni Ukanda jirani kabisa. Generally ni eneo moja tu, hata radha ya bangi ya hapo ni ileileWenyeji wanasema kitulo ni funga kazi