Pole sana Mh Temba, Shetani hana Rafiki

Pole sana Mh Temba, Shetani hana Rafiki

Wakati tunaandika kuhusu kutekwa Watu awamu ya 5, Polepole alitukejeli Kama wewe, sasa subiri atekwe Mama yako

Polepole mwenyewe kajitengenezea adui kwa mdomo wake!!!

LISSU mdomo wake Mdude mdomo wake !!!

Serikali ipo kuwaudumia wananchi sio kuwasumbua!!!

lkn maitaji yako ya tumbo yamegeukia kuchagua kusema uwongo kupotosha wananchi

basi wapo wananchi watakuzuia kuendelea kupotosha jamii kuponda mazuri ya Serikali yao. !!

Kama upendi kitu sio kosa lkn waache wanaopenda wanaompenda maisha yaendelee siku zisonge!!!

furahaa ni kupokezana naww siku yko ipo mungu yupo kwaajili ya wote!!

So Usizuie mwenzio kuwa na furahaa yake!!

sasa ww unataka kulazimisha Wananchi wote wamchukie usiempenda ww
mbayaa zaidi kwa kuchochea uwongo!!

Wananchi watapambana naww wakikujua !!!

CCM wameichagua wenyewe Serikali ni yao !!!

bado wewe mpinzani unataka mwana CCM hakose Amani ya Moyo sasa lini mwanaCCM atajisikia yupo huru kwa kuchagua anachopenda!!

Ndio tuseme Chadema wakishinda Uchaguzi ndio wanaccm watakuwa huru zaidi!!!

Au mtawauwa Kama kuku sio kutekwa tena!!!

Mana ndani ya Chadema kwenyewe mnatekana tekana na apo bado hamna taasisi za uchunguzi !!!!!!!

mkipata Serikali mtabaki Wachaga watupu Tanzania. Uyo Lissu mwenyewe mtampiga teke !!!

Kama sasa ndani ya Chadema wapo wamechangisha pesa kupitia jina lake Lissu na pesa zikatafunwa
uruma ya Lissu ipo wp kwenu heshima ya Lissu ipo mifukoni tu!!!

Fikiria kwanza na kunywa maji msomaji wa Jamii forum kisha endeleeni kuelimika kama mh Lissu tu mnamfanyia ivi

je Wanaccm
je wananchi

Chadema ni jinamizi kwetu Watanzania tupaswa kuliwai mapema kulitokomeza mbaliii uko.

darr ya mvua mawingu

ujumbe kwenu Watanzania kwa umoja tutashinda jinamizi 🪼bado lipo nje ya nyumba!
 
Ivi issue ya uyo mtu aliepatwa bila kichwa je kwanini kuinyoshea mkono serikali ? Jr uyo mtu alikua na tishio gani kwa watawala maana binafsi ndo nimepata kumuona leo. Uenda kukawa na mambo mengine sio kila mauaji lawama ikabebeshwa serikali wazee
Tatizo sio kuwa na issues na serikali tatizo serikali kutokuwa seriously na hizi issues wanachukulia poa huku hali ikizidi kuwa mbaya na watu wasio na nia nzur wanapitia humo humo report inatoka wanakwambia mtu kajiteka na kajichinja na wembe mpaka kichwa kimetoka !
 
Kwanza jina la Temba inaweza kuwa uyo ni Mchaga!!!

Lkn mleta mada ni muongo mchonganishi

Uwezi kusema Serikali imeusika kwenye tukio ambalo Sababu wewe mwenyewe uijui !!!

zaidi unalakamika kila ntu litamfika

litakufika sababu niwewe mwenyewe umeamua likufike kwa kuisakama Serikali kwa uwongo✍️

Sio Tanzania tu popote nenda ipo ivyo Serikali jukumu lake kubwa kuwaudumia wananchi wake!!!

TEMBA mwimbaji kuipigia kampeni CCM ndio kosa!!
mbona wanasanii wengine wapo vizuri ¿¿¿

1]
Swali kama tatizo ni kusaidia kampeni ya CCM mbona TEMBA muhusika hakutekwa!!!

2)
Watu wanauliza uyo Temba anausika nanini kiasi iyo Serikali imteka???
mwanasiasa ?
mwana jamii forum anatumia jina lipi??

Kama majibu huna

kwann icho kifo kibebeshwa Serikali

Vip kama ni wivu
wanawake

Wangapi wanauwawa kisa wivu wa mapenzi!!!

vip kama kuna zuluma kubwa ya pesa wenyewe kwa wenyewe!!

Ukisema tu ni Serikali lazima tujue uyo mtu kwann Serikali wahusike kafanya nn kibaya kwao???

Serikali inatumia Mabilioni mengi kwenye Afya za raia wake!!!

Raia kauwawa kwasababu uzijui unadai Serikali!

Mfano ndugu Polepole katekwa japo kila mtu anaweza sema ni Serikali sababu zipo wazi!!!

Sasa uyo Temba nayeye kafanyaje kwa Serikali???

Fact​

Kwa tukio hili la kikatili namna hii,hapa naweza sema kuna sababu kubwa zaidi,maana hii ni kama somo limetolewa kwa wengine,kwamba wakijichanganya tu imekula kwao

Kwahiyo ni mapema mno kunyoosha kidole kutuhumu watu fulani au taasisi fulani,tujipe muda huenda tukawa surprised

Lawama pekee ambayo ipo wazi ni kutokuwepo kwa uchunguzi wa kina wa kuwatambua wahusika,hapa ndio pako wazi
 
Wote tutafikiwa ni suala la muda tu. Ripoti nyingi za haya mambo zinaminywa kimtindo huku wengine wanamalizwa kimya kimya.
Ila takwimu sahihi zinakusanywa wala usihofu utakapo fika wakati wa kuzitoa utazikia tu..
 
Kwa yaliyokutokea liwe Fundisho kwamba, wanapotekwa wengine tupige kelele pamoja.

Nitakutafuta nikupe pole ya Ana kwa Ana utakaporudi kuzika

Kwa Kukumbusha tu ni Kwamba Mh Temba ni miongoni mwa wasanii waliokuwa wanatumbuiza kwenye Kampeni za Samia 2025 huku akiwa kavalia fulana na Kofia ya SSH
We mzee una laana. Temba kuwa tofauti nawe kiitikadi ndo ufurahie matatizo yake? Nyie hamfai kuongoza hii nchi kwa jinsi mlivyo makatili.
 
We mzee una laana. Temba kuwa tofauti nawe kiitikadi ndo ufurahie matatizo yake? Nyie hamfai kuongoza hii nchi kwa jinsi mlivyo makatili.
Makatili ni Watekaji na wauaji

Unajua aliko Polepole ?
 
Polepole mwenyewe kajitengenezea adui kwa mdomo wake!!!

LISSU mdomo wake Mdude mdomo wake !!!

Serikali ipo kuwaudumia wananchi sio kuwasumbua!!!

lkn maitaji yako ya tumbo yamegeukia kuchagua kusema uwongo kupotosha wananchi

basi wapo wananchi watakuzuia kuendelea kupotosha jamii kuponda mazuri ya Serikali yao. !!

Kama upendi kitu sio kosa lkn waache wanaopenda wanaompenda maisha yaendelee siku zisonge!!!

furahaa ni kupokezana naww siku yko ipo mungu yupo kwaajili ya wote!!

So Usizuie mwenzio kuwa na furahaa yake!!

sasa ww unataka kulazimisha Wananchi wote wamchukie usiempenda ww
mbayaa zaidi kwa kuchochea uwongo!!

Wananchi watapambana naww wakikujua !!!

CCM wameichagua wenyewe Serikali ni yao !!!

bado wewe mpinzani unataka mwana CCM hakose Amani ya Moyo sasa lini mwanaCCM atajisikia yupo huru kwa kuchagua anachopenda!!

Ndio tuseme Chadema wakishinda Uchaguzi ndio wanaccm watakuwa huru zaidi!!!

Au mtawauwa Kama kuku sio kutekwa tena!!!

Mana ndani ya Chadema kwenyewe mnatekana tekana na apo bado hamna taasisi za uchunguzi !!!!!!!

mkipata Serikali mtabaki Wachaga watupu Tanzania. Uyo Lissu mwenyewe mtampiga teke !!!

Kama sasa ndani ya Chadema wapo wamechangisha pesa kupitia jina lake Lissu na pesa zikatafunwa
uruma ya Lissu ipo wp kwenu heshima ya Lissu ipo mifukoni tu!!!

Fikiria kwanza na kunywa maji msomaji wa Jamii forum kisha endeleeni kuelimika kama mh Lissu tu mnamfanyia ivi

je Wanaccm
je wananchi

Chadema ni jinamizi kwetu Watanzania tupaswa kuliwai mapema kulitokomeza mbaliii uko.

darr ya mvua mawingu

ujumbe kwenu Watanzania kwa umoja tutashinda jinamizi 🪼bado lipo nje ya nyumba!
SAYNGAY
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom